Tiketi za 'Simba Day - Ubaya Ubwela' zinakaribia kuisha, Yanga mnafeli wapi?

Hii huwa naita ni ''pepo ya mabwege''. CCM imewakamata wabongo masikio kweli kweli. Badala ya kupigania maisha yao na watoto wao, wanakimbilia kujazana uwanjani kama nyumbu.
 
Acheni mbwembwe tumeishawazoea, mwaka jana mlisema sold out wakati robo ya uwanja ulikuwa tupu.
 
Mlijaza uwanja Simba day miaka mitatu mfululizo cha kushangaza wakati wa kunyanyua kwapa mabingwa wakikabidhiwa hamuonekani, mnakuwaga wapi wanetu?😀
 
Uelewa wako ni mdogo sana naona reply yako imejaa pumba tupu hata sijui nianzie wapi.
 
Tayari hulo SOLD OUT

Utopolo mmeja mapovu nunueni tiketi msisubili mnunuliwe

UBAYA UBWELA
 
Mlijaza uwanja Simba day miaka mitatu mfululizo cha kushangaza wakati wa kunyanyua kwapa mabingwa wakikabidhiwa hamuonekani, mnakuwaga wapi wanetu?[emoji3]
Subilini mnunuliwe tiketi na mwenyekiti wa mtaa uingizwe bure
 
Sold out bila ushindi ni sawa na mwanaume mwenye hela lakini hana nguvu za kiume.
 
Hivi hizi bei za Tiketi zikoje ukilinganisha na Yanga?
Simba: ticket zote sold out

Mzunguko - Tsh. 5,000
Machungwa - Tsh. 10,000
VIP C - Tsh. 20,000
VIP B - Tsh. 30,000
VIP A - Tsh. 40,000
Platinum - Tsh. 200,000.

Yanga:

Royal: 300,000 sold out
VVIP: 600,000. Sold out
VIP A: 50,000 Sold out
VIP B: 30,000
VIP C: 15,000
Machungwa: 10,000
Mzunguko: 5,000
 
Yanga sc is silent killer, malizine siku yenu kwanza
 
Wazee wa bure mmekumbukwa

[emoji599] Young Africans SC kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa Damu Salama kesho Alhamisi kutakuwa na zoezi la uchangiaji Damu.

Zitatolewa tiketi za bure kwa mashabiki na wanachama wa Yanga wote watakaoshiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…