Tiketi za 'Simba Day - Ubaya Ubwela' zinakaribia kuisha, Yanga mnafeli wapi?

Sisi wananchi tunasubiri kuingizwa bure maana tushazoea dezo
Kazi kweli kweli, wengine wanaingizwa bure, huku wengine wanaingizwa kwa pesa. Bora sisi wengine tupo tupo tu hatuingizwi kwa pesa wala kwa bure. Dabil wewe si ni Simba? Kama ni Simba basi utaingizwa kwa pesa sio bure.
 
Mkuu mi ni Simba damu,hii ya bure inawaathiri wenzetu,watu wananunua tikect za VIP mwisho wa siku wengine wanaingizwa bure na wale wa VIP wanakosa kuingia na kufurumushwa na mabomu na wana tickets, nani atarudi mtu akikutana na huo usumbufu
 
Swala la kuwafanya mashabiki waingie bure ndicho kinachowalemaza mashabiki wa Yanga. Na ndio chanzo cha kuwapoteza mashabiki wengi wenye nia za kuingiaga uwanjani. Hapa viongozi wa Yanga sio kwamba wanajenga bali wana bomoa.
 
Huwa wanatangaza zimekwishwa ila siku ya mechi uwanja inakuwa mtupu, sio WA kuwaamini hao

Mwaka jana walifanya hivo
Kuna watu wananunua tiketi nyingi ili walangue, sasa wakikosa wateja unategemea uwanja utajaa?
 
Hata kaiser chiefs tiketi ziliisha siku tatu kabla matokeo yake walitawanyika kabla Mpira haujaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…