technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
CEO anakuuma eeh? Ila sishangai maana wanawake mnaoneana wivu sanaNimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.
Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?
Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.
Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
Huyo ni yanga na ukiwa yanga automatically dishi lina kaa vibaya chaneli hazisomi kwa hyo inabidi umzoee tu.Hizi habari sijui mnaokota wapi
Kinachouzwa buku mbili ni kadi sio tiketi
Awali kadi zilikjwa zinauzwa buku ila kutokana na kuadimika watu wameongeza buku ya juu
Hapo buguruni nimepita na kulikuwa na mashabiki wa simba waliokuwa wanafanya hamasa muda huo wakiongozwa na mzee wa pasi milion
Ngoja kwanza, we ndiye ulisema Manara Spy au?Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.
Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?
Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.
Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
spy wa mchongo[emoji23][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125]Ngoja kwanza, we ndiye ulisema Manara Spy au?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]
wewe inakuuma nn.... hata wakiingia bure unatesekaje kwamfano!Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.
Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?
Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.
Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
Yaan hatatukiingia bure leo ni cku yetu ya kujinafasi.... wamekwmbia wanashida ba hela yakoNimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.
Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?
Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.
Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
daaaa hasira zote na tressza tangu jmosi zinaishia kwa Mnyama!Simba Ni timu ya hovyo Sana.
Mia tano mia tano, kama utanunua mbili, utapewa tiketi mbili nyingine bureNimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.
Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?
Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.
Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
Jibu hojasimba haihusiki na kipigo cha jana
hakuna hoja ya kujibu hapo, hayo ni makasiriko tu yamemfanya achanganye kadi na gate feeJibu hoja
Hata hiyo mbona kubwa.... Mo akiamua anaweza akasema watu waingie bure na yeye atalipia tiketi. Haina haja kuuza ghali halafu uwanja uwe na mapengo kama juzi.Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.