technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.
Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?
Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.
Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.