Tiketi za simba zinauzwa buku mbili?

Tiketi za simba zinauzwa buku mbili?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.

Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?

Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.

Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
 
Hizi habari sijui mnaokota wapi

Kinachouzwa buku mbili ni kadi sio tiketi

Awali kadi zilikjwa zinauzwa buku ila kutokana na kuadimika watu wameongeza buku ya juu

Hapo buguruni nimepita na kulikuwa na mashabiki wa simba waliokuwa wanafanya hamasa muda huo wakiongozwa na mzee wa pasi milion
 
CEO anakuuma eeh? Ila sishangai maana wanawake mnaoneana wivu sana
 
Hizi habari sijui mnaokota wapi

Kinachouzwa buku mbili ni kadi sio tiketi

Awali kadi zilikjwa zinauzwa buku ila kutokana na kuadimika watu wameongeza buku ya juu

Hapo buguruni nimepita na kulikuwa na mashabiki wa simba waliokuwa wanafanya hamasa muda huo wakiongozwa na mzee wa pasi milion
Huyo ni yanga na ukiwa yanga automatically dishi lina kaa vibaya chaneli hazisomi kwa hyo inabidi umzoee tu.
 
Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.

Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?

Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.

Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
Ngoja kwanza, we ndiye ulisema Manara Spy au?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]
 
Umeandika majungu na umbea tu, sijui huu ujinga wako umeusomea wapi ukahitimu kwa ngazi ya certificate.
 
Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.

Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?

Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.

Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
wewe inakuuma nn.... hata wakiingia bure unatesekaje kwamfano!
 
Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.

Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?

Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.

Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
Yaan hatatukiingia bure leo ni cku yetu ya kujinafasi.... wamekwmbia wanashida ba hela yako
 
Haya wahi Salamander Tower usije kukuta chai na visheti ulivyoahidiwa vimekwisha.
 
Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.

Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?

Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.

Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
Mia tano mia tano, kama utanunua mbili, utapewa tiketi mbili nyingine bure
 
Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.

Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli?

Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO.

Kuna shida Simba, Simba sio ya kuuza tiketi za mechi kwa buku mbili.
Hata hiyo mbona kubwa.... Mo akiamua anaweza akasema watu waingie bure na yeye atalipia tiketi. Haina haja kuuza ghali halafu uwanja uwe na mapengo kama juzi.
 
Back
Top Bottom