Tiktok bunge la wananchi Kuna jamaa anaitwa summer ni mjinga sana

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisa lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu anamiaka 50 huyu mshenzi ndio anharibu Hilo bunge shtukeni Bora kiongozi abaki nuruvazi tu yaani jamaa Lina mihasira yake ya uzee basi Kila mtu akipanda live kuongea anamkosoa I
 
Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisha lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu anamiaka 50 huyu mshenzi ndio anharibu Hilo bunge shtukeni Bora kiongozi abaki nuruvazi tu yaani jamaa Lina mihasira yake ya uzee basi Kila mtu akipanda live kuongea anamkosoa I
Project hizo za TEETH stukeni.
 
Wewe naye mpuuuzi, sasa habari za Tiktok ila malalamiko unaleta JF. Unataka tukusaidie nini
 
jamaa Lina mihasira yake ya uzee basi Kila mtu akipanda live kuongea anamkosoa I
Hahaha ndio bunge la wananchi hilo kubaliana nalo tu.. hapo upo kwenye bunge la wananchi je ukisogezwa kwenye jeshi la wananchi itakuaje? Sizungumzii jeshi lile la Wananchi wa CCM
 
Itakua ulileta udwanzi Kwenye Live yake akakupiga Nyundo halafu unakuja Kutolea Milio JF..🎺🎺🎺
Sijawahi kuongea live huyo mjinga unaemtetea huwa anadharau sana wenzake wanaozungumza sijui ndio hasira za kuzeeka. Yaani Kila mda linahasira
 
Nililichana live likaniblock lipuuz halina emotional intelligence
Yaani Lina hasira Jana Kuna jamaa alitoa wazo kwamba zile sauti za vicheko back ground Bada ya mtu kuongea zisiwepo zinawatoa watu kwenye userious basi likamvaa yaani na jamaa mwenyewe mtoa wazo Kwa jinsi alivyokua anaongea mstaarabu ila nikaona kaznza kukasirika ila Nuru vazi akamtuliza jamaa
 
Yes ile background sijui tarumbeta sijui makofi inaboq
 
Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisa lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu anamiaka 50 huyu mshenzi ndio anharibu Hilo bunge shtukeni Bora kiongozi abaki nuruvazi tu yaani jamaa Lina mihasira yake ya uzee basi Kila mtu akipanda live kuongea anamkosoa I
Acha uongo
Nimemsikiliza mara kadhaa anasema vijana komboeni nchi yenu!
mi sio kijana ki nina kiaka 50+sshv nina familia ht wakiniua nishaishi nusu karne inanitoshq, wapi kasema ye Gen z ?ht km mtu humpendi basi usimuwekee maneno
Khaaaa jmn
 
Back
Top Bottom