Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Project hizo za TEETH stukeni.Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisha lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu anamiaka 50 huyu mshenzi ndio anharibu Hilo bunge shtukeni Bora kiongozi abaki nuruvazi tu yaani jamaa Lina mihasira yake ya uzee basi Kila mtu akipanda live kuongea anamkosoa I
Kabisa jitu likahasira yaani unakuta mtu anaongea point ila linamstopisha na kejeli juu nashindwa kulielewa hili jitu ni la aina GaniProject hizo za TEETH stukeni.
Wewe naye mpuuuzi, sasa habari za Tiktok ila malalamiko unaleta JF. Unataka tukusaidie niniHuyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisha lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu anamiaka 50 huyu mshenzi ndio anharibu Hilo bunge shtukeni Bora kiongozi abaki nuruvazi tu yaani jamaa Lina mihasira yake ya uzee basi Kila mtu akipanda live kuongea anamkosoa I
Huna akiliWewe naye mpuuuzi, sasa habari za Tiktok ila malalamiko unaleta JF. Unataka tukusaidie nini
Kuhusu tarehe 9Huko wanajadili nini kwani
OkKuhusu tarehe 9
Hahaha ndio bunge la wananchi hilo kubaliana nalo tu.. hapo upo kwenye bunge la wananchi je ukisogezwa kwenye jeshi la wananchi itakuaje? Sizungumzii jeshi lile la Wananchi wa CCMjamaa Lina mihasira yake ya uzee basi Kila mtu akipanda live kuongea anamkosoa I
Sijawahi kuongea live huyo mjinga unaemtetea huwa anadharau sana wenzake wanaozungumza sijui ndio hasira za kuzeeka. Yaani Kila mda linahasiraItakua ulileta udwanzi Kwenye Live yake akakupiga Nyundo halafu unakuja Kutolea Milio JF..🎺🎺🎺
Yaani Lina hasira Jana Kuna jamaa alitoa wazo kwamba zile sauti za vicheko back ground Bada ya mtu kuongea zisiwepo zinawatoa watu kwenye userious basi likamvaa yaani na jamaa mwenyewe mtoa wazo Kwa jinsi alivyokua anaongea mstaarabu ila nikaona kaznza kukasirika ila Nuru vazi akamtuliza jamaaNililichana live likaniblock lipuuz halina emotional intelligence
Yes ile background sijui tarumbeta sijui makofi inaboqYaani Lina hasira Jana Kuna jamaa alitoa wazo kwamba zile sauti za vicheko back ground Bada ya mtu kuongea zisiwepo zinawatoa watu kwenye userious basi likamvaa yaani na jamaa mwenyewe mtoa wazo Kwa jinsi alivyokua anaongea mstaarabu ila nikaona kaznza kukasirika ila Nuru vazi akamtuliza jamaa
Aisee jamaa sijui Lina akili ganiMimi kuna siku nashangaa jamaa alisema wanipige rungu nitolewe eti ni mamluki ...wakanishusha🐼
Acha uongoHuyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisa lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu anamiaka 50 huyu mshenzi ndio anharibu Hilo bunge shtukeni Bora kiongozi abaki nuruvazi tu yaani jamaa Lina mihasira yake ya uzee basi Kila mtu akipanda live kuongea anamkosoa I
Kuna siku kuna watu walivamia na comment za ajabu ndo maana wakawa wanapiga block though alikosea na alikiri kuna watu km 6 hivi alikosea kuwapiga blockMimi kuna siku nashangaa jamaa alisema wanipige rungu nitolewe eti ni mamluki ...wakanishusha🐼