Tiktok bunge la wananchi Kuna jamaa anaitwa summer ni mjinga sana

Acha uongo
Nimemsikiliza mara kadhaa anasema vijana komboeni nchi yenu!
mi sio kijana ki nina kiaka 50+sshv nina familia ht wakiniua nishaishi nusu karne inanitoshq, wapi kasema ye Gen z ?ht km mtu humpendi basi usimuwekee maneno
Khaaaa jmn
Endelea kumtetea
 
Kuna siku kuna watu walivamia na comment za ajabu ndo maana wakawa wanapiga block though alikosea na alikiri kuna watu km 6 hivi alikosea kuwapiga block
Nafikiri nilikuwa kwenye hili kundi maana sikuwa hata nime-comment chochote wakaniondoa
 
Yes ana shida kidogo ya ku manage hadhira..pia inaonekana sio mtu mwenye elimu mana kuna some infos anatoa pale hazichuji kwanza anazitoa kama zilivo ambazo nyengine sio za ukweli.

Nimegundua ana tatizo la elimu japo kianaina ni ana vichekesho design kama comedian huwaga anachekesha kweli
 
Kumbe huko tiktok kuna nyumbu zimejikusanya na kujiita bunge la wananchi?
nyumbu zinaiangusha celi kali ya wauwaji ya machoko wa ccm? **** nyie mtakula mabus this time tumewaminya kende kutoka ticktok
 
Hii inchi Ina vituko sana eti bungeni TikTok !
 
Mkubwa kwenye mambo ya kukomboa Taifa hakuna kubembelezana,

Ukizingua unakula block haraf unapita hiv, unataka kunyenyekewa wew umekua nan.

Just behave.
 
Kazi mnayo.........
 
Kumbe huko tiktok kuna nyumbu zimejikusanya na kujiita bunge la wananchi?
ndo manaake! Yaani hizo unazoziita nyumbu zimejikusanya kama vile wale monkeys na mashoga wa kijani walivyohamishia vikao vya chama chao cha mafisadi ndani ya jengo la bunge!
 
Je japo lina ufanano kidogo na lililokuwa bunge la katiba lililouwawa na ccm kwa kutanguliza maslahi yao na tumbo mbele kuliko maslahi ya taifa?
 
Mzee wa makopakopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…