TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Ni elimu gani inapatikana tiktok
Haiwezekan
 
Una akili timamu?
 
Acha chuki na majungu ya Kiboya, Wewe umewasilisha mada michambo na majungu vinakusaidia nini? Hapo nilipo bold. Man U
 
Dunia ina watumiaji wa internet bilioni 4.65, na YouTube inawatumiaji bilioni 2.6 kila mwezi sawa na asilimia 57 (57%) ya watumiaji wa internet duniani kote.

Huku kwa TikTok ikiwa na watumiaji bilioni 1 kila mwezi, hawajafikia hata nusu ya watumiaji wa YouTube.

Nchi tano (5) zinazo ongoza kwa kutumia YouTube;-
1. India - milioni 467
2. USA - milioni 246
3. Brazil - milioni 142
4. Indonesia - 139
5. Mexico - milioni 81

Na hapa chini ni nchi 5 zinazo ongoza kwa matumizi ya TikTok
1. USA - Milioni 113
2. Indonesia - 109.9 milioni
3. Brazil - 82.2 milioni
4. Mexico - 57.5 milion
5. Russia - 54.9 milioni

Mwisho mtoa mada akamatwe mara moja apelekwe Ukraine akaungane na mchekeshaji mwenzake bwana Zele.
 
TikTok imefika 1B manake inakuwa, siku siyo nyingi itafikia 5B
 

Unasema youtube hana mvuto? Labda kama unaangalia video za hovyo, lakini lwa contents zenye adabu bado youtube yuko juu. Uzuri mmoja ni ww unachagua uone nn
 
Umemaliza kila kitu, salute
 

Tiktok siyo mbadala wa youtube kwa hiyo haiwezi kuia youtube. Zote zita exist kwa pamoja labda tiktok abadilike awe kama youtube hapo mbeleni.

Youtube haihitaji uwe na account ili utumie kwa hiyo number of sunscribers isikudanganye.

Tiktok amewashtua youtube nao wanaweka ka section kenye content kama za tiktok hapa utaona kwamba youtube bado yupo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…