Si alitamka Mwenyewe, hasira za nini sasa?Challenge ya nywi nywii nywii inatamba huko
Wengi walikua hawajui kuhusu VPN leo hadi wazee wanajua😁serikali kuna somo wanatufundisha bila wao kujua. sasa hivi kila mtanzania atakuwa na VPN na hapo ndio mambo yatakuwa yamoto
Iwafindishe mara ngapi?serikali kuna somo wanatufundisha bila wao kujua. sasa hivi kila mtanzania atakuwa na VPN na hapo ndio mambo yatakuwa yamoto
Fear of the unknown...! The guilty are afraid..!Tiktok imeungana na X (Twitter) na JamiiForums, rasmi hii mitandao uwezi kutumia bila VPN
Wanasikitisha sana hawa wawili.Kuna watu wawili ningetamani kusikia msimamo wao kwenye haya yaliyotokea kwa nchi yetu siku kadhaa zilizopita,
1. Mch Peter Msigwa
2.Freeman Mbowe
Umemsahau Wenje.Kuna watu wawili ningetamani kusikia msimamo wao kwenye haya yaliyotokea kwa nchi yetu siku kadhaa zilizopita,
1. Mch Peter Msigwa
2.Freeman Mbowe