Tiktok yafungiwa Tanzania, bila VPN uwezi kutumia

Tiktok yafungiwa Tanzania, bila VPN uwezi kutumia

Mwajuma ndala ndefu kaniambia mpaka simu za mkopo customer care hawataki utumie vpn

Ndio kaniuliza VPN ndo nini.!?🤔

Kweli.! Sina la kujibu 🤭
 
Tiktok nlikua naichukulia pouwa lakini kumbe imeteka watu kwa kiasi kikubwa sana especially hawa GEN-Z
 
Back
Top Bottom