Unaposema asili ya Mwanadamu ni Afrika una maanisha nini ? Yaani unamzungumzia Adamu au nani ?Kama imeshindikana kabisa kuficha kuwa asili ya mwanadamu ni Afrika. Basi huyu mwafrika kabeba siri kubwa kwenye uumbaji na kikomo cha kuwa... Sasa kuko wapi kushindwa kwake?
mpk utafuniwe na mzungu ndo ufahamu wako ujazwe sivyo..? Mengine ukiyaona Kama mafumbo ukiyashindwa lalaHii definition kuhusu sayansi siyo kutoka kwa mzungu kweli?!!🤣🤣
mpk utafuniwe na mzungu ndo ufahamu wako ujazwe sivyo..? Mengine ukiyaona Kama mafumbo ukiyashindwa lala
Mzungu ndo anaubongo peke yake..?Mkuu, Wazungu ndiyo elimu zao hizo, Hebu nitajie Mwana fizikia, mwana hisabati, mwana kemia Mswahili hata mmoja!!?--- a world recognisable one, labda kinjekitile ngwale aliyebadilisha risasi kuwa maji,🤣🤣🤣
Daah,kaka mimi sijakuelewa kabisa labda ukinijibu hili swali naweza kuelewa.Muda ninini? Linaweza kuwa swali gumu kujibika lakini unaweza kuelewa kupitia maelezo yafuatayo
Ni lazima kutambua ya kwamba kuna aina mbili za muda
1. Muda halisi unaosomeka na kuandikika kwa tarakimu
2. Muda usiosomeka wala kupimika... Muda was kufikirika ndani ya fikra
Muda unaosomeka na kuandikika kwa tarakimu hatuna muamana nao.... Upo hatuwezi kuubadili wala kuudhibiti... Muda huo upo tangu uumbaji.. Hakuna mwanadamu awaye yote awezaye kuurekebisha, kuubadili wala kuutawala vyovyote vile.... Sisi ndio tunaufuta utakavyo hatuna milki nao.. Ulikuwepo... Upo na utakuwepo...
Muda usiosomeka wala kuandikika kwa tarakimu... Muda wa mawazoni na ndani ya fikra zetu.... Huu ni muda ndani yetu... Muda huu si wa wingi kwa maana ya wote bali ni muda wa umoja, muda wa kipekee unaotofautiana na kila mmoja wetu hapa...
Muda huu hujaribu tu kupimika kwa kumbukumbu ya mawazo na matendo yaliyopita, na mawazo ama matendo yajayo yasiyojulikana bado...
Tunakumbuka nyakati za furaha ama huzuni zilizopita huku tukitaraji mema ama mabaya ya nyakati zijazo.. Unaweza kuangalia nyuma ulikotoka kifikra na ukatamani kurudi huko.... Mawazo na fikra zako vikakubeba na kukupeleka huko mazima.... Yaani kimwili unaishi sasa katika wakati huu halisi lakini kifikra uko nyuma kabisa ya wakati mwaka juzi ama jana ama mwezi uliopita
Ukiwa katika hali hii unakuta muda halisi unakuwa na muingiliano na muda wa kufikirika... Muda uliokwisha kufa... Muingiliano wa muda na uumbaji... Dhana ya kuwa na kukoma kuwa....!
Nimeeleweka?
Mzungu ndo anaubongo peke yake..?
mkuu tunaongelea races mbili huyo nyani kafikaje lkn hata Hivyo ni unafahamu dhahiri kuwa nyani hawezi Kisha unauliza!!!Mbona hata nyani anao ubongo, lakini anaweza kupaisha ndege angani??🐵🐵🐵
mkuu tunaongelea races mbili huyo nyani kafikaje lkn hata Hivyo ni unafahamu dhahiri kuwa nyani hawezi Kisha unauliza!!!
Tuko pamoja.Nimekusoma kote nipe muda nitakurejea
Adamu ni nani?Yaani unamzungumzia Adamu au nani ?
Adamu ni nani?
Unaposema asili ya Mwanadamu ni Afrika una maanisha nini ? Yaani unamzungumzia Adamu au nani ?
Na kipi kimekujulisha kwamba asili ya mwanadamu ni Afrika. ?
Zurri achana na uwongo wa watu wa mashariki ya kati kuwa Adam ni mtu kwanza
Quran yenyewe inatambua kuwa mtu wa kwanza ni mweusi na watu weusi wanatoka africa hivyo mshana yupo right
Nimerudi ZurriUnaposema asili ya Mwanadamu ni Afrika una maanisha nini ? Yaani unamzungumzia Adamu au nani ?
Na kipi kimekujulisha kwamba asili ya mwanadamu ni Afrika. ?
Kwangu mimi na naamini na kwa wengine pia tahajudi ni tafsiri ya meditation (tafakuri jadidi)Hivi hili tamko "TAHAJUDI" ni tamko rasmi la Kiswahili au ? Msaada tafadhali,kama ni tamko rasmi ukinipa marejeo utakuwa umenisaidia sana.
Hili ni swali gumu kwakuwa hata ukiniuliza muda nini nitashindwa kukujibu... Lakini naweza kusema tu ya kwamba muda ni saa (sio ya kuvaa mkononi) muda ni dakika muda ni sekunde muda ni wakati na muda ni nyakatiDaah,kaka mimi sijakuelewa kabisa labda ukinijibu hili swali naweza kuelewa.
Muda ili utambulike kunahitajika vitu gani ?
Quran yenyewe inatambua kuwa mtu wa kwanza ni mweusi na watu weusi wanatoka africa [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji112]Zurri achana na uwongo wa watu wa mashariki ya kati kuwa Adam ni mtu kwanza
Quran yenyewe inatambua kuwa mtu wa kwanza ni mweusi na watu weusi wanatoka africa hivyo mshana yupo right
Una kubali kwamba hizi asili mbili zinakinzana japokuwa zote zina maana moja ?Nimerudi Zurri
Nisome tena kwa utulivu nilichoandika... Nimezungumzia asili mbili....
Asili ya kwanza ni kihistoria kwamba 'binadamu wa kwanza' (kwa tafsiri ya historia) mabaki yake yalipatikana Afrika tena Tanzania... Na hili halijawahi kukanushwa popote pale... Namaanisha kanusho rasmi la kimaandishi na ithibati
Asili ya pili ni ya kiimani.. Kuumbwa kwa ulimwengu na mwanadamu wa kwanza yaani Adam na hii iko mashariki ya kati