Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?



Grandpa paradox dipicts the time-travel backwards, what about the time-travel forwards ??!!
 
Binafsi i think time travel shouldn’t exist,italeta chaos duniani tu
 
world isnt fake but you dont understand what time exactly is, TIME was redefined again by einsten kabla ya time ya mshale tunaoitumia kutokana na NEWTON
ok. what is time according to einsten?
 
mimi nina swali nje ya mada,huenda hata likawa linakinzana na kanuni za bwana enstain.

kwa mujibu wa theory zake ni kwamba speed ya kitu inayegemea unakiona ukiwa wapi.kwa mujibu wa jicho la binaadam speed ya mwanga ni kubwa sana hasa ukizingatia uwezo wa jicho lake kuchakata picha zinazotumia speed ya mwanga kupita katika jocho lake.

lakini kuna wadudu kama nyuki,ndege mmoja anafyonza utomvu wa maua,wao speed yao ya kupishana na mwanga iko tofauti kabisa,kwa speed wanayotumia kwenye harakati zao,nina uhakika wanashuhudia matukio mengi ya binaadam katika slow motion,au pause kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]

huyu mdudu au ndege mahesabu yake yako tofauti sana,ndio maana siku 28 za maisha ya nyuki ni nyingi mno kwake maana yuko mbele ya muda,kuliko sisi tunavyofanya utumbo wetu taratibu mno.
 
ebu chagua lugha moja usichanganye ili ueleweke vizur

kuna maneno magumu ila kwa urahisi sana: anamaanisha mda ni muunganiko wa matukio kulingana na mtazamaji mwenyewe labda sjui ntakua nmeelezea vizuri, yaaani yale yote yanayotokea mbele ya jicho lako kitu kama icho
 
Wadau hii time travelling katika uhalisia wa maisha yetu haya inatusaidia nini?
 
kuna maneno magumu ila kwa urahisi sana: anamaanisha mda ni muunganiko wa matukio kulingana na mtazamaji mwenyewe labda sjui ntakua nmeelezea vizuri, yaaani yale yote yanayotokea mbele ya jicho lako kitu kama icho
kwahiyo mtazamaji akiwa hayupo na muda unapotea
 
Hakika elimu uliyojipatia imekusaidia na umewasaidia wengi nikiwemo mimi.

Nalitanani wasomi wa Tanzania yangu wangeweza kuyabadili mawazo ya kisomi kuwa na uhalisia jinsi hii

Heko kwako mkuu.
 
kwahiyo mtazamaji akiwa hayupo na muda unapotea

kwa huyo mtazamaji yes, DO YOU SEE THE STARS IN THE SKY? whatever star you see in the sky ni nyota za miaka billion 2.5 iliopita, most stars u see somehow or maybe znaweza zkawa zmeshakufa mda mrefu sana lakini ule mwanga bado unasafiri kwahio wewe unatravel back in time around thosa stars, same to the sun, if lets say the sun dies NOW, you will need 15 - 25 MINS ili kue giza duniani so upo behind time! mpaka apo nadhan utakua umepata hint kidogo but hio ni time travel to the past, tuseme jua letu likifa saaahv kama kuna mtu anaelekea opposite direction ya jua at the speed of light, akiwa anasafiri uku anaangalia jua, yeye mpaka anakufa bado atakua analiona jua kwa sababu ule mwanga bado uko nae, thats time travel to the past, akizidisha zaidi ya spidi ya mwanga(light) means mda kwake unarudi nyuma , akisafiri at light speed means TIME kwake freezes
 
Hakika elimu uliyojipatia imekusaidia na umewasaidia wengi nikiwemo mimi.

Nalitanani wasomi wa Tanzania yangu wangeweza kuyabadili mawazo ya kisomi kuwa na uhalisia jinsi hii

Heko kwako mkuu.

yeye Einsten alitoa huu mfano akimaanisha kwamba mtu akiwa anasafiri uku anaangalia opposite side, ukichukulia ule mfano wa treni aliotoa ndo utaelewa, sasa huyu kakairiri, ukitumia hii njia you will need to teleport lakini you will still age kawaida, einsten alichomaanisha zaidi ni kwamba SPACE and TIME ni kitu kimoja, meaning if you tear one part of space unaweza kutokea at another end of space, na inakua ni shortcut BUT what utakachokua unaona ukiwa on the far side of the universe kitakua ni respective to yourself not everyone else!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…