Lakini hatuna budi kuwapongeza na kuwatia moyo, kila hatua lazima watajirekebisha mahala walipopoteza na walipokosea.Hata msimu jana ilikua hivyo na hakuna iliyotoboa kwenda robo
Jivunie hata kidogo ulichonacho. Simba na Yanga zilishafika fainali acha uchawi na roho mbaya.Hata msimu jana ilikua hivyo na hakuna iliyotoboa kwenda robo
kitu kimoja tu bado, kuuanza kuuza wachezaji wetu kwa wingi nje ya tanzania kwenye vilabu vingine, tofauti na sasa tumekua wanunuzi wakuu wa wachezaji kutoka njeLigi ya Tanzania imeendelea kuonesha kuwa inazidi kukua kwa timu zake 4 kufuzu kwenda hatua ya Makundi,
Simba, Yanga zimefuzu klabu bingwa kwa kutoa kichapo kizito kwa timu walizokuwa wanacheza nazo
Huku, Azam na Singida black stars wakiipeperusha bendera ya Nchi kwenye kombe la shirikisho.
Sio roho mbaya naongelea uhalisia. Tusijazane upepo na mpira wetu uliojaa siasaJivunie hata kidogo ulichonacho. Simba na Yanga zilishafika fainali acha uchawi na roho mbaya.
Hii ni hatua nzuri, tunajikuta wachazaji wa Afrika wanatamani kuja kucheza Bongo. Lakini tujiulize ukitoa kina Libasse timu zingefika wapi?
Hiyo roho ya kichawiSio roho mbaya naongelea uhalisia. Tusijazane upepo na mpira wetu uliojaa siasa
Uhalisia ni kwamba timu za Tanzania zinafanya vizuri kuliko kipindi cha huko nyuma.Sio roho mbaya naongelea uhalisia. Tusijazane upepo na mpira wetu uliojaa siasa
Ndio, ukitoa wachezaji wengi wa kigeni, timu zetu zingefika wapi? Nakumbuka Mazembe na AS Vita au Zamalek, Al Ahl, Berkane zinasumbua na wachezaji wa ndani zaidi kulipo kutegemea majeshi. Umeelewa wewe mlima mahindi wa Kibaigwa?Libase tena
Ndio, ukitoa wachezaji wengi wa kigeni, timu zetu zingefika wapi? Nakumbuka Mazembe na AS Vita au Zamalek, Al Ahl, Berkane zinasumbua na wachezaji wa ndani zaidi kulipo kutegemea majeshi. Umeelewa wewe mlima mahindi wa Kibaigwa?
Kwenye soka la vilabu kutegemea wachezaji wa kigeni ni jambo la kawaida.Angalia R Madrid na Bayern mafanikio Yao yanabebwa na wachezaji wa kigeni.Ndio, ukitoa wachezaji wengi wa kigeni, timu zetu zingefika wapi? Nakumbuka Mazembe na AS Vita au Zamalek, Al Ahl, Berkane zinasumbua na wachezaji wa ndani zaidi kulipo kutegemea majeshi. Umeelewa wewe mlima mahindi wa Kibaigwa?
Kwanini unasema roho ya kichawi? Kuzungumza ukweli ndo roho ya kichawiHiyo roho ya kichawi
... ambao hawana msaada when it comes to national team. Dumbia! Dumbia! Dumbia! Sijui SHALULILE! SHALULILE! SHALULILE! Then what?kitu kimoja tu bado, kuuanza kuuza wachezaji wetu kwa wingi nje ya tanzania kwenye vilabu vingine, tofauti na sasa tumekua wanunuzi wakuu wa wachezaji kutoka nje
Sawa sawa,sio Sasa hv tunaletewa makapi, halafu tunajisifu, dumbia ,dumbia, sijui shalulile ,kumbe hakuna kitu, mie nitakapoona tumegeuza Soka letu kuwa Biashara ya kuuza Nje vijana wetu ndio nitajua Soka limekua... ambao hawana msaada when it comes to national team. Dumbia! Dumbia! Dumbia! Sijui SHALULILE! SHALULILE! SHALULILE! Then what?
Tukuze vipaji vya ndani dola ziingie badala ya kutoka.