Timu 5 kubwa Afrika zinazodhaminiwa jezi na makampuni makubwa

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
AL AHLY (ADIDAS)
Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL MADRID na timu KUBWA zingine nyingi


WYDAD AC(MACRON)
Wanadhaminiwa na kampuni ya kitaliano iitwayo MACRON makao makuu yake ni Cresperano, Bologna, Italy, pia Macron wanadhamini CLUB BRUGGE, BLACKBURN ROVERS , REAL SOCIEDAD, AL NASRI YA OMAN, FC NANTES na timu KUBWA nyingine nyingi

ESPERANCE DE TUNIS(KAPPA)
Wanadhaminiwa na kampuni ya kiitaliano iitwayo KAPPA ambao pia wanaidhamini AS MONACO, LIGI YA BRAZIL, TIMU YA TAIFA YA TUNISIA na timu nyingine nyingi nyingi


MAMELODY( PUMA)
Wanadhaminiwa na kampuni ya Kijerumani iitwayo PUMA Wanamdhamini NEYMAR wa BRAZIL, pia klabu ya MANCHESTER CITY FC, OLYMPIC MARSEILLE

SIMBA SC(SANDALAND )
UNYAMA MWINGI NGUVU MOJA wanadhaminiwa na SANDALAND (Sunderland?) ambao ni washkaji fulani hivi wa Msimbazi kariakoo na kabla ya hapo walikuwa na Dizaina mmoja maarufu sana duniani Vunja bei
 
Subiri wakina mwakarobo waje kukushushia mitusi.
 
Umeshashiba uji wa mhogo na kamongo unajambahamba ovyo
 
Vipi ndugu zetu makolo fc wanaojinasibisha kuwa timu Bora na kubwa Africa?
 
Alhly na Mamelody ni saa ngapi????

Nipo Dodoma hata sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…