Timu 8 zilizotinga robo fainaili Kombe la Azam sport federation cup

Timu 8 zilizotinga robo fainaili Kombe la Azam sport federation cup

Achana Suala La 'Kutinga' hiyo hatua Embu Tujadili Hii Aibu Aliyotwishwa Mkwasa 'Master' ...Dah 7 bila Sio Masihara...! Uso Wake Atauweka Wapi? Je Masau Bwille....! Yote Kwa Yote Ruvu Shooting Wamejitahidi Maana Yangekuwa 17 Bila ..jinsi Mashuhuda Tulivyoona..!
 
Masaubwire alishajipanga kisaikolojia, na mechi kama ile uzuri ni kwamba huwezi kumlaumu kocha wala wachezaji utachotakiwa kufanya ni kuwasifia wachezaji wa Simba
 
Naunga Mkono Hoja.....ule Pira ni Mwingi Sana..! Ruvu Wasilaumiwe...hata Kidogo!
 
Tunawatamani sana hawa mikia....mayele peke yake ni sawa na kagere,chama,sako,kocha,morison,boco,mashabiki,refa,waganga na ahmed ally
Mayele yupi? Au tumsubiri mwingine ? Au unamzungumzia yule hoi mbele ya Inonga anasindikizwa nje hoi bon taaban
 
Zipo Timu Yanga Itaogopa Kucheza Nazo ila Siyo Nyie Aisee [emoji23][emoji23][emoji23], Hakuna Timu Yanga Imeifunga Mara Nyingi Zaidi Hapa Bongo Kama Simba [emoji23][emoji23]
mashindano haya yanga alikula nusu fainali alikula 4 fainali kimoja111 chaliiiii
 
tuanzie hapo hapo Simba Vs Utopolo kazi iishe mapema.zibaki kazi mbili tu kwa Simba Ligi ya NBC na Caf.
Ww huiogopi hii YANGA? kupiga bomu mortuary ndo kunakuaminisha kuwa unaweza kupambana na YANGA hii. Sisi tunawachora tu mjichanganye tu.
 
Back
Top Bottom