Timu 8 zilizotinga robo fainaili Kombe la Azam sport federation cup

Timu 8 zilizotinga robo fainaili Kombe la Azam sport federation cup

Zipo Timu Yanga Itaogopa Kucheza Nazo ila Siyo Nyie Aisee [emoji23][emoji23][emoji23], Hakuna Timu Yanga Imeifunga Mara Nyingi Zaidi Hapa Bongo Kama Simba [emoji23][emoji23]
Ukweli mchungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wao wenyewe mbumbumbu fc wanaombea tutolewe ili tusikutane aibu ikawapata upyaaaa.
 
Tunawatamani sana hawa mikia....mayele peke yake ni sawa na kagere,chama,sako,kocha,morison,boco,mashabiki,refa,waganga na ahmed ally
Mayele huyu huyu anaeshangilia hadi anavua boksa, wakati triple c magoli kwake kitu cha kawaida sana haitaji hata kurukaruka km kuku mwenye kideri.
 
Ukweli mchungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wao wenyewe mbumbumbu fc wanaombea tutolewe ili tusikutane aibu ikawapata upyaaaa.
Mfano Ile Game Ya Ligi Walikuwa Wanaogopa Vby Na Walijua Hawaponi Ndo Maana Walishangalia Kinoma Ile Sare [emoji23][emoji23], ila Round Hii Tukikutana Wanapotea Na Mayele Lazima Awatie Tena Mark My Words.
 
Hapo wanasubir drooo tena wenzetu huko mambele huwa mambo yanapangwa toka awali huyu akifka hatua flan atakutana na timu flani
 
Yanga kuifunga Simba safari hii labda mje na mbinu za kupaki golini mnajaa kama kumbikumbi otherwise msikariri eti mtaifunga Simba kwa mazoea. Watch out frogs
 
1. Geita gold
2.Kagera sugar
3.Simba
4.Young Africans sc
5. Pamba fc
6. Coastal union
7.Polisi Tanzania
8.Azam fc

unatamani timu gani zikutane? me nataman tukutane na watoto wa rose mhando
kwani shida iko wapi coz lazima mwisho wa siku apatikane mmoja kuwa bingwa.
 
Ww huiogopi hii YANGA? kupiga bomu mortuary ndo kunakuaminisha kuwa unaweza kupambana na YANGA hii. Sisi tunawachora tu mjichanganye tu.
Ngoja siku tukikutana na nyinyi mtatoa majibu ni lini monchwari paliwai kupigwa bomu!
 
Ngoja siku tukikutana na nyinyi mtatoa majibu ni lini monchwari paliwai kupigwa bomu!
Matokeo ya Simba yanawatesa sana Yanga. Ikishinda moja Ni Simba mbovu, ikishinda zaidi ya 3 au 4 basi umepiga bomu mochwari.

Mtaanza kuitisha press kujadili kwanini Simba anashinda goli nyingi. Nadhani Sasa hivi huko Yanga vikao vya ndani vinaendelea.

Mnapata tabu sana.
 
Naunga Mkono Hoja.....ule Pira ni Mwingi Sana..! Ruvu Wasilaumiwe...hata Kidogo!
20220217_130842.jpg
 
tuanzie hapo hapo Simba Vs Utopolo kazi iishe mapema.zibaki kazi mbili tu kwa Simba Ligi ya NBC na Caf.
Kwahiyo Tukubaliane Kabisa Timu Yako Tayari Gari Limewaka?

Hamkawi Kuanza Kulialia Kuwa False 9 Imegoma.
 
Back
Top Bottom