Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Acheni faraja za mkorogo, bado Simba hii siyo ya kuombea mechi kubwa kama hiyo. Timu iko kwenye transition angalau mwezi wa nne tutaongea lugha moja.tuanzie hapo hapo Simba Vs Utopolo kazi iishe mapema.zibaki kazi mbili tu kwa Simba Ligi ya NBC na Caf.