Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Siuseme tu kuwa ni yangaIende hivyo hivyo, 1 akutane na 2, 5 na 6, 7 na 8. Najua kuna namba hapa inaogopa mtiririko huu, anahofia mazito 😂
Masaubwire alishajipanga kisaikolojia, na mechi kama ile uzuri ni kwamba huwezi kumlaumu kocha wala wachezaji utachotakiwa kufanya ni kuwasifia wachezaji wa SimbaAchana Suala La 'Kutinga' hiyo hatua Embu Tujadili Hii Aibu Aliyotwishwa Mkwasa 'Master' ...Dah 7 bila Sio Masihara...! Uso Wake Atauweka Wapi? Je Masau Bwille....! Yote Kwa Yote Ruvu Shooting Wamejitahidi Maana Yangekuwa 17 Bila ..jinsi Mashuhuda Tulivyoona..!
Vita kuu ya 3 inakuja sasa hivi, MIMI SIMO 😂Siuseme tu kuwa ni yanga
Mayele yupi? Au tumsubiri mwingine ? Au unamzungumzia yule hoi mbele ya Inonga anasindikizwa nje hoi bon taabanTunawatamani sana hawa mikia....mayele peke yake ni sawa na kagere,chama,sako,kocha,morison,boco,mashabiki,refa,waganga na ahmed ally
Zipo Timu Yanga Itaogopa Kucheza Nazo ila Siyo Nyie Aisee [emoji23][emoji23][emoji23], Hakuna Timu Yanga Imeifunga Mara Nyingi Zaidi Hapa Bongo Kama Simba [emoji23][emoji23]Siuseme tu kuwa ni yanga
Mnatuweza??tuanzie hapo hapo Simba Vs Utopolo kazi iishe mapema.zibaki kazi mbili tu kwa Simba Ligi ya NBC na Caf.
mashindano haya yanga alikula nusu fainali alikula 4 fainali kimoja111 chaliiiiiZipo Timu Yanga Itaogopa Kucheza Nazo ila Siyo Nyie Aisee [emoji23][emoji23][emoji23], Hakuna Timu Yanga Imeifunga Mara Nyingi Zaidi Hapa Bongo Kama Simba [emoji23][emoji23]
Naitamani YANGA mpaka natoka jasho.. Nataka nayo ilishwe saba nunge1. Geita gold
2.Kagera sugar...
Zile goli 9 za Unguja hazipo kwenye kumbukumbu zenu?NAWAKUMBUSHA YANGA HAJAPOTEZA MCHEZO MPAKA SASA.
Ww huiogopi hii YANGA? kupiga bomu mortuary ndo kunakuaminisha kuwa unaweza kupambana na YANGA hii. Sisi tunawachora tu mjichanganye tu.tuanzie hapo hapo Simba Vs Utopolo kazi iishe mapema.zibaki kazi mbili tu kwa Simba Ligi ya NBC na Caf.