Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!

Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
 
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga! Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
Gor Mahia muondoe hapo. Ameshabeba kombe wa Washindi Barani Afrika ( kwasasa CAFCC)
1987
5/12 GOR MAHIA 1
ESPERANCE 1

21/11 ESPERANCE 2
GOR MAHIA 2
away goal
 
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!

Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
Hilo kombe la kuku ambalo wewe unajisifia medali Gor Mahia ambae wewe unambeza alishinda mwaka 1987.

NB: NIONESHE SHABIKI WA YANGA MWENYE AKILI TIMAMU NIKUONESHE MBUZI ANAYETAGA.
 
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!

Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
UTOTO RAHA SANA
 
Makolo wana medali ya Abiola cup, medali zipo kama vizibo vya mo extra
 
Tuonesheni medali mliyopewa mwaka 1993.

Ama kipindi hiko medali zilikuwa hazitumiki ?

Tudanganye
Hakuna mashindano ya kugombania medali kwenye soka!! Madali si sehemu ya taji!! Ndio maana kuna watu huwa wanakataa kuzivaa!! Kuna mtu kasema hapo juu kuwa utoto raha sana!! Watoto wanaamini medali kwenye soka ni sehemu ya taji ya kugombania!! Watoto tuwafundishe kuwa medali hutumika kwenye riadha!! Nje ya riadha hizo ni shanga tu!!
 
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!

Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
Umri wako plz

Unaweza kumlaumu mtu kumbe umri wake ndiyo tatizo.

Endelea kubishana na CAF.
Screenshot_20230501-185133.jpg
Screenshot_20230531-162451.jpg
Screenshot_20230531-161256.jpg
 
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!

Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
Waliosema Utopolo FC hawakukosea. Hiyo medali maana yake ni kuwa wewe ni dhaifu na ulishindwa kucheza Champion League.
Timu kama Al Ahly, Wydad au Mamelod ingekuwa ndiyo Yanga, kuna watu walikuwa wanafukuzwa kazi.
Umepangwa ucheze Champion League. Ukatolewa na Al hilal ukaenda kucheza shirikisho (league walioshindwa kucheza champion ambako kuna timu kubwa). Umepata medali halafu unatamba?😀😀😀😁😁
  • Kipindi Simba inacheza shirikisho, yanga walicheza mechi mbili ikatolewa
  • Kipindi Simba anacheza Champion league Yanga yupo anacheza shirikisho ametolewa Champion Laegue.
Angalia kipindi Yanga anachukua medali za Loosers' cup, Simba alikuwa wapi?
- Kipindi Simba anacheza AFL, Yanga yupo amekalisha matako.
Ndiyo ujue Simba ni timu bora kuliko Yanga
 
Back
Top Bottom