John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!
Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc