John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Gor Mahia muondoe hapo. Ameshabeba kombe wa Washindi Barani Afrika ( kwasasa CAFCC)Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga! Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
Hahahaha π€£π€£π€£π€£π€£ hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.Wanasema walipata medali ya abiola cup na ukiwaambia waionyeshe wanakula Konaπ€£π€£π€£
Kipindi hicho cha kina Peter Dawo, Gor ilikuwa ya moto sana, hata AFC Leopards wahakuwa wabaya. Ila sasa tumewaacha mbali sana.Gor Mahia muondoe hapo. Ameshabeba kombe wa Washindi Barani Afrika ( kwasasa CAFCC)
1987
5/12 GOR MAHIA 1
ESPERANCE 1
21/11 ESPERANCE 2
GOR MAHIA 2
away goal
Hilo kombe la kuku ambalo wewe unajisifia medali Gor Mahia ambae wewe unambeza alishinda mwaka 1987.Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!
Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
UTOTO RAHA SANAHuwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!
Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
Naona mwaka 1993 ulikuwa bado mdogo au haukuwepo kabisa!! Hata ukiambiwa huwezi kuelewa!!
Hakuna mashindano ya kugombania medali kwenye soka!! Madali si sehemu ya taji!! Ndio maana kuna watu huwa wanakataa kuzivaa!! Kuna mtu kasema hapo juu kuwa utoto raha sana!! Watoto wanaamini medali kwenye soka ni sehemu ya taji ya kugombania!! Watoto tuwafundishe kuwa medali hutumika kwenye riadha!! Nje ya riadha hizo ni shanga tu!!Tuonesheni medali mliyopewa mwaka 1993.
Ama kipindi hiko medali zilikuwa hazitumiki ?
Tudanganye
Umri wako plzHuwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!
Walau Yanga unaweza kuiweka katika kundi moja na Mamelodi, Wydad na Al Ahly kwani wote walau wamefika fainali katika michuano mikubwa mikubwa barani Afrika na zinafanya vyema nje na ndani ya nchi zao japo Yanga inawazidi kwa kutwaa Ligi za ndani mara nyingi zaidi. Hii inathibitisha akili zao zinatia mashaka na si bure baadhi yao kuitwa majina ya Mbumbumbu fc
Waliosema Utopolo FC hawakukosea. Hiyo medali maana yake ni kuwa wewe ni dhaifu na ulishindwa kucheza Champion League.Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga!