Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Waliosema Utopolo FC hawakukosea. Hiyo medali maana yake ni kuwa wewe ni dhaifu na ulishindwa kucheza Champion League.Makolo wana medali ya Abiola cup, medali zipo kama vizibo vya mo extra
Timu kama Al Ahly, Wydad au Mamelod ingekuwa ndiyo Yanga, kuna watu walikuwa wanafukuzwa kazi.
Umepangwa ucheze Champion League. Ukatolewa na Al hilal ukaenda kucheza shirikisho (league walioshindwa kucheza champion ambako kuna timu kubwa). Umepata medali halafu unatamba?😀😀😀😁😁
- Kipindi Simba inacheza shirikisho, yanga walicheza mechi mbili ikatolewa
- Kipindi Simba anacheza Champion league Yanga yupo anacheza shirikisho ametolewa Champion Laegue.
- Kipindi Simba anacheza AFL, Yanga yupo amekalisha matako.
Ndiyo ujue Simba ni timu bora kuliko Yanga