Timu bora imepoteza mechi kwa penalti, mashabiki na wanachama msihuzunike mnayo timu bora msimu huu


Kwamaelezo haya ilitakiwa muwe mmeshinda hata goli 15 maana mpinzani wenu hana zuri hata moja kwamujibu wamaelezo yako
 
Upo emotional sana.........high emotions tends to remove intelligence...

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Timu tishio hawezi maliza dk 90 ikihangaishwa na timu mbovu chukulia mfano man city au ile Barcelona ya kuanzia 2008 zikiwa kwenye ubora wao hakuna timu ilikuwa inatoboa, game inamalizwa within 90minutes , ..ukweli ni kwamba yanga iko overrated sana hata ile fainali walifika kwa fluke tu
 
Timu bora inashika nafasi ya ngapi kwa viwango vya CAF? na hiyo second unayoisema inashika nafasi ya ngapi!? Sema nimekuelewa ni kutaka kujifariji. Yanga kama mna team nzuri ya kuifunga Simba mlikuwa na kila sababu ya kushinda. Kwanini mlishindwa mpaka mkaruhusu kwenda matuta wakati mliwazidi karibia kila kitu wapinzani wenu? Maana yake na ninyi ni wabovu kama simba tu! Team mbovu ilidhibitiwa na wabovu. By the way hata leo mlisema ni suala la muda tu lazima mchukue kombe, naona lugha imeanza kubadilika
 
Yanga wameonyesha bado wanacho kikosi bora sana kuanzia beki na viungo but tatizo lipo kwenye final third,
Hapo hapo kwenye tatizo ndipo wapinzani wenye akili zao wanapopatumia. Soka ni mchezo wa makosa, ukiwa mdhaifu eneo fulani si utetezi, unaadhibiwa kwa udhaifu huo huo. Timu bora imechukua Ngao ya Hisani, nyingine hizi ni kelele
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga kana Manchester city kufungwa na Asenakwenye penati lakini timu bora pigia mstari.
Hahahaha imeenda hiyo, pigia mstari. Maumivu ya kichwa yakizidi muone daktari.
 
Reactions: Tui
hapa naomba nikukosoe, ukweli ni kwamba beki bora ya simba ndo imeifanya yanga ionekane haina foward hasa che Malone, ...huyo konkoni mbona aliingia lakini sikumwona tena toka aingie mpaka mpira unaisha na sijui kama hata aligusa mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…