Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Siteseki kabisaaTeseka taratibuuuu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siteseki kabisaaTeseka taratibuuuu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuandika maelezo mengi pamoja na kuambatanisha emoj za vicheko ni ishira ya kulazimisha furaha....Mrithi wa mayele konikoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Nzize jana alikua anavizia tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Musonda alikua anacheza rafu utasema ni beki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna moja alipigwa tobooooo akawa anacheza mieleka sjui karate zile [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna tofauti ya kucheza mpira nakuchezea mpira ,uto walikua wanachezea mpira mbio myingi matokeo sufuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga jana alikua anakufa mapema sana .
Simba amenyimwa penati mbili asee, moja ya AUCHO alimkata KIBU D , ya pili ni MAMNYETO kudaka mpira utasema yeye ndo kawa diara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga msijifanye mmesahau haraka hivi , hii ni mechi ya pili mfululizo mnafungwa na mtani wenu ,punguzeni lawama na kujifariji ,punguzeni mihemko inaondoa inteligence hebe kaeni mfanye tathmini mnakwama wapi?
Kwaio malengo yenu kwenye hii ngao ya jamii ilikua ni kuzuia na kushinda kwenye matuta? basi tujipe muda kwenye ligi naamin mtakua na mbinu za kushinda game zote + magoli mengi, maana kwenye ligi hakuna matuta ni Alama nyingi + Magoli ndivyo hupelekea timu kuwa bingwa.... Sisi Yanga tuna timu mbovu haijawai kutokea, pengo la Mayele na Feisal bado yanaonekanaTimu bora haiwezi zuiwa na timu mbovu, .......siku hizi mpira umebadilika unachezwa kwa mbinu na malengo sio wachezaji kukimbia hovyo uwanjani utafikiri ng'ombe waliong'atwa na nyuki
Wala sikushangai ni kawaida ya utopolo.Upo emotional sana.........high emotions tends to remove intelligence...
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Unakariri utelezi. Msimu huu hakuna shirikisho kwa timu za Simba na Yanga.kuandika maelezo mengi pamoja na kuambatanisha emoj za vicheko ni ishira ya kulazimisha furaha....
Simba ni bingwa wa ngao ya jamii.... ( Tumekubali) Pia mlikua bora kulingo Yanga idara zote hili nalo tunakubali.... Sisi Yanga ni dhaifu saana kwa Simba hii ya Robertinho
Bado kuna Shirikisho, Ligi kuu, Mapinduzi, Club bingwa... tunaamini pia hayo makombe kwa timu yenu hii mtayachukua yote... kwasasa bongo hakuna timu kama simba lunyasi hongereni watani
Unawaza mengi lkn ni utopolo tu.Kwaio malengo yenu kwenye hii ngao ya jamii ilikua ni kuzuia na kushinda kwenye matuta? basi tujipe muda kwenye ligi naamin mtakua na mbinu za kushinda game zote + magoli mengi, maana kwenye ligi hakuna matuta ni Alama nyingi + Magoli ndivyo hupelekea timu kuwa bingwa.... Sisi Yanga tuna timu mbovu haijawai kutokea, pengo la Mayele na Feisal bado yanaonekana
Yanga kupata medali ilikuuma mnooo.... Nenda ww kachukue club bingwaUnawaza mengi lkn ni utopolo tu.
Badala uwaze kucheza CAF Champion League na Super Cup ili na sisi tutangaze league yetu lakn unawaza ucheze na Ihefu, JKT, Azam, Singida n.k ili uchukue kombe la league kuu, Mapinduzi na FA.
Hayo makombe haujawi kuyachukua? Mkiwaza hivyo hata hii CAF Champion league mtajifungisha ili ukacheze Tanzania na Ihefu.
Nyie utopolo sana, mlipopata medali mkajiona ni bora sana kuliko yule anayecheza Champion League.
Tunakoelekea utaweza shangaa Yanga, anajilegeza ili awe mshindi wa 3 akacheze shirikisho akachukue medali.
Leo amani sana, mnaongea sana wazee
Timu imepangiwa kucheza champion league, imecheza mechi mbili ikatolewa.Yanga kupata medali ilikuuma mnooo.... Nenda ww kachukue club bingwa
Fainali ya Kombe la Azam msimu ule kule Arusha kati ya Yanga na Coastal unioni iliishajeWala sikushangai ni kawaida ya utopolo.
Huyo Jig Diala alishakutana na mtiti wa penati zinazoamua matokeo ya mechi?
Kipa kudaka penati moja ya USM Alger ameshakuwa screen protector kwenye simu ya itel yenye android version ya 4.4.1
Leo mji una amani sana. Mnaongea kama mefungiwa sabufa wazee
Unamzungumzia Coastal Union, watu hawajui kupiga penati.Fainali ya Kombe la Azam msimu ule kule Arusha kati ya Yanga na Coastal unioni iliishaje