Timu dhaifu tupu ndio zimebaki shirikisho. Hakuna inayoizidi Simba kwenye rank za CAF 2023

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa Yanga wenu hapo? Tp mazembe kashinda mechi 1 tu makundi ndio wa kuzungumzia.

Clab bingwa yamebaki mabingwa tupu. Ya kwanza adi 8 kwenye renk za CAF amekosekana moja tu berkane.
Zilizobaki Ni

1 Aly hilal
2Wc Casablanca
3 Raja
4. Experence Tunis
5. Mamelod
6. Rc belouzidad
8. Simba
12 .J Kabilye

Kuna kitu watu hawajui. Timu zote zilizobaki shirikisho hakuna iliyojuu kwenye rank za CAF juu ya Simba kifupi mwaka huu hakuna timu yoyote Bora iliyobaki shirikisho
 
Wakili msomi CAS mnaenda lini tuwape escort?
 
Kwani hiyo simba(Makolo) ikikutana na Yanga inayoshiriki kombe la Shirikisho huwa inafanywaje?

Mkikosa points sio lazima muanzishe mada
 
Kama Simba Sc mnyama ingekuwepo shirikisho this year ingebeba hilo kombe, no doubt.
Kama Simba ni Bora asingekua anatandikwa na Yanga Kwa kadri Yanga anavyo jisikia, alafu tusiende mbali turudi kwenye msimamo wa NBC ambapo Simba imeachwa point 8 baada ya mechi zaidi ya 25 Sasa uo ubora Simba anautoa wapi?
Simba ni dunduka kama madunduka mengine.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna timu bora halafu inashiriki shirikisho utopolo jueni hivyo. Ukiona Al ahly au mamelod wanashiriki shirikisho ni kwamba wameshuka viwango.
 
Kama Simba ni Bora asingekua anatandikwa na Yanga Kwa kadri Yanga anavyo jisikia, alafu tusiende mbali turudi kwenye msimamo wa NBC ambapo Simba imeachwa point 8 baada ya mechi zaidi ya 25 Sasa uo ubora Simba anautoa wapi?
Simba ni dunduka kama madunduka mengine.[emoji3][emoji3][emoji3]
Ligi hii hii ambayo marefa akina kayoko na makosa yao ya kibinadamu [emoji16][emoji16],, kuhusu kumfunga simba huwa mna bahatisha tu magoli yenu ya papatu papatu dk ya 12 kisha mnapaki basi dk zote 90, ndio maana ushindi wenu huwa hauzidi goli moja, Ila mnyama akiamuaga unakula Hamsa, nne nk
 
Kwani hiyo simba(Makolo) ikikutana na Yanga inayoshiriki kombe la Shirikisho huwa inafanywaje?

Mkikosa points sio lazima muanzishe mada
Muda wao utafika tu. Mana kila neno la kwao. Walianzaga kusema yanga kundi lile chapati hata point 1. Tukapigwa na monastrine kila kona goli wakasema tutafungwa 100. Kaja mazembe kawekwa vyombo vya motooo vi3 na simba na Mavi yao yote hajawahi kumfunga mazembe wakasema sio maze.mbe walee. Leo hii wanataka kujilinganisha na yanga kisa wao wapo klabu bingwa. Hawa kima tu... N kama wanabisha walete timu yao
 
Kombe la shirikisho mnaloliponda ndio lililowafanya mwaka jana mkatia aibu taifa hadi mkapigwa faini na caf kwa kufanya uchawi wa kuwasha moto uwanjani
Hakuna anaeliponda kombe bali tunawaponda nyinyi kupitia hilo kombe. Nyinyi mnajiita bora ,tunawapa fact kwamba hakuna timu itajiita bora halafu inashiriki shirikisho labda kama unajilinganisha na timu ndogo.
 
Ligi hii hii ambayo marefa akina kayoko na makosa yao ya kibinadamu
emoji16.png
emoji16.png
,, kuhusu kumfunga simba huwa mna bahatisha tu magoli yenu ya papatu papatu dk ya 12 kisha mnapaki basi dk zote 90, ndio maana ushindi wenu huwa hauzidi goli moja, Ila mnyama akiamuaga unakula Hamsa, nne nk
Point zenyewe ndio zile zilikusanywa dhidi ya Geita gold
Na wewe si ungekusanya kwani kukusanya si bure?
 
Kama Simba ni Bora asingekua anatandikwa na Yanga Kwa kadri Yanga anavyo jisikia, alafu tusiende mbali turudi kwenye msimamo wa NBC ambapo Simba imeachwa point 8 baada ya mechi zaidi ya 25 Sasa uo ubora Simba anautoa wapi?
Simba ni dunduka kama madunduka mengine.[emoji3][emoji3][emoji3]
Unazungumzia mechi za NBC wakati penati zinatolewa nje ya eneo la 18? (Geita Gold v Yanga).

Unazungumzia magoli yanayopatikana baada ya mpira kutoka nje ya touchline? (Yanga v Azam).
 
Back
Top Bottom