Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Huyo Mazembe aliyepigwa na Vipers akashuka shirikisho halafu vipers akapigwa nje ndani na Simba.Muda wao utafika tu. Mana kila neno la kwao. Walianzaga kusema yanga kundi lile chapati hata point 1. Tukapigwa na monastrine kila kona goli wakasema tutafungwa 100. Kaja mazembe kawekwa vyombo vya motooo vi3 na simba na Mavi yao yote hajawahi kumfunga mazembe wakasema sio maze.mbe walee. Leo hii wanataka kujilinganisha na yanga kisa wao wapo klabu bingwa. Hawa kima tu... N kama wanabisha walete timu yao
Sasa hapo nani mkubwa? Vipers aliwakanda Yanga pale Taifa siku ya mwananchi lakini Simba kamkanda mume wenu nje ndani.