William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Wakili msomi CAS mnaenda lini tuwape escort?Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa Yanga wenu hapo? Tp mazembe kashinda mechi 1 tu makundi ndio wa kuzungumzia.
Clab bingwa yamebaki mabingwa tupu. Ya kwanza adi 8 kwenye renk za CAF amekosekana moja tu berkane.
Zilizobaki Ni
1 Aly hilal
2Wc Casablanca
3 Raja
4. Experence Tunis
5. Mamelod
6. Rc belouzidad
8. Simba
12 .J Kabilye
Kuna kitu watu hawajui. Timu zote zilizobaki shirikisho hakuna iliyojuu kwenye rank za CAF juu ya Simba kifupi mwaka huu hakuna timu yoyote Bora iliyobaki shirikisho
Kwani hiyo simba(Makolo) ikikutana na Yanga inayoshiriki kombe la Shirikisho huwa inafanywaje?Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa Yanga wenu hapo? Tp mazembe kashinda mechi 1 tu makundi ndio wa kuzungumzia.
Clab bingwa yamebaki mabingwa tupu. Ya kwanza adi 8 kwenye renk za CAF amekosekana moja tu berkane.
Zilizobaki Ni
1 Aly hilal
2Wc Casablanca
3 Raja
4. Experence Tunis
5. Mamelod
6. Rc belouzidad
8. Simba
12 .J Kabilye
Kuna kitu watu hawajui. Timu zote zilizobaki shirikisho hakuna iliyojuu kwenye rank za CAF juu ya Simba kifupi mwaka huu hakuna timu yoyote Bora iliyobaki shirikisho
Kama Simba ni Bora asingekua anatandikwa na Yanga Kwa kadri Yanga anavyo jisikia, alafu tusiende mbali turudi kwenye msimamo wa NBC ambapo Simba imeachwa point 8 baada ya mechi zaidi ya 25 Sasa uo ubora Simba anautoa wapi?Kama Simba Sc mnyama ingekuwepo shirikisho this year ingebeba hilo kombe, no doubt.
Hakuna timu bora halafu inashiriki shirikisho utopolo jueni hivyo. Ukiona Al ahly au mamelod wanashiriki shirikisho ni kwamba wameshuka viwango.Kama Simba ni Bora asingekua anatandikwa na Yanga Kwa kadri Yanga anavyo jisikia, alafu tusiende mbali turudi kwenye msimamo wa NBC ambapo Simba imeachwa point 8 baada ya mechi zaidi ya 25 Sasa uo ubora Simba anautoa wapi?
Simba ni dunduka kama madunduka mengine.[emoji3][emoji3][emoji3]
Ligi hii hii ambayo marefa akina kayoko na makosa yao ya kibinadamu [emoji16][emoji16],, kuhusu kumfunga simba huwa mna bahatisha tu magoli yenu ya papatu papatu dk ya 12 kisha mnapaki basi dk zote 90, ndio maana ushindi wenu huwa hauzidi goli moja, Ila mnyama akiamuaga unakula Hamsa, nne nkKama Simba ni Bora asingekua anatandikwa na Yanga Kwa kadri Yanga anavyo jisikia, alafu tusiende mbali turudi kwenye msimamo wa NBC ambapo Simba imeachwa point 8 baada ya mechi zaidi ya 25 Sasa uo ubora Simba anautoa wapi?
Simba ni dunduka kama madunduka mengine.[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye ligi ya nyumbani wameongezewa kipengele cha assist nyingiMmebakiza hesabu za cross multiplication tu sasa makolo.
Kila shabiki wa kolo kawa mchambuzi sasa
Kombe la shirikisho mnaloliponda ndio lililowafanya mwaka jana mkatia aibu taifa hadi mkapigwa faini na caf kwa kufanya uchawi wa kuwasha moto uwanjaniHakuna timu bora halafu inashiriki shirikisho utopolo jueni hivyo. Ukiona Al ahly au mamelod wanashiriki shirikisho ni kwamba wameshuka viwango.
Muda wao utafika tu. Mana kila neno la kwao. Walianzaga kusema yanga kundi lile chapati hata point 1. Tukapigwa na monastrine kila kona goli wakasema tutafungwa 100. Kaja mazembe kawekwa vyombo vya motooo vi3 na simba na Mavi yao yote hajawahi kumfunga mazembe wakasema sio maze.mbe walee. Leo hii wanataka kujilinganisha na yanga kisa wao wapo klabu bingwa. Hawa kima tu... N kama wanabisha walete timu yaoKwani hiyo simba(Makolo) ikikutana na Yanga inayoshiriki kombe la Shirikisho huwa inafanywaje?
Mkikosa points sio lazima muanzishe mada
Sass ndo upitwe point 8?Hakuna timu bora halafu inashiriki shirikisho utopolo jueni hivyo. Ukiona Al ahly au mamelod wanashiriki shirikisho ni kwamba wameshuka viwango.
Point zenyewe ndio zile zilikusanywa dhidi ya Geita goldSass ndo upitwe point 8?
Hakuna anaeliponda kombe bali tunawaponda nyinyi kupitia hilo kombe. Nyinyi mnajiita bora ,tunawapa fact kwamba hakuna timu itajiita bora halafu inashiriki shirikisho labda kama unajilinganisha na timu ndogo.Kombe la shirikisho mnaloliponda ndio lililowafanya mwaka jana mkatia aibu taifa hadi mkapigwa faini na caf kwa kufanya uchawi wa kuwasha moto uwanjani
Hata hapa bongo kuna ligi dhaifu kimemshinda nini kuchukua?Kama Simba Sc mnyama ingekuwepo shirikisho this year ingebeba hilo kombe, no doubt.
Ligi hii hii ambayo marefa akina kayoko na makosa yao ya kibinadamu,, kuhusu kumfunga simba huwa mna bahatisha tu magoli yenu ya papatu papatu dk ya 12 kisha mnapaki basi dk zote 90, ndio maana ushindi wenu huwa hauzidi goli moja, Ila mnyama akiamuaga unakula Hamsa, nne nk
Na wewe si ungekusanya kwani kukusanya si bure?Point zenyewe ndio zile zilikusanywa dhidi ya Geita gold
Unazungumzia mechi za NBC wakati penati zinatolewa nje ya eneo la 18? (Geita Gold v Yanga).Kama Simba ni Bora asingekua anatandikwa na Yanga Kwa kadri Yanga anavyo jisikia, alafu tusiende mbali turudi kwenye msimamo wa NBC ambapo Simba imeachwa point 8 baada ya mechi zaidi ya 25 Sasa uo ubora Simba anautoa wapi?
Simba ni dunduka kama madunduka mengine.[emoji3][emoji3][emoji3]