Timu Diamond mjinyonge, Alikiba jukwaa moja na Chris Brown

Hivi hizo team huwa mnalipwa.....? dah mjini kuna mengi
walipwe wapi zaidi ya wao kutumia vifurushi vyao kuanzisha ubishani usiokuwa na tija yeyote. Wanafikia mpaka kutukanana na kupigana lakini mwisho wa siku hawaambulii hata thumni ya mafanikio ya huyo wanaodhani wanampigania.
 
Mbona alishaimba na Rkelly Kabisa ila kiko wapi? Sembuse hiyo Chris?

Tatizo sio anafanya kazi na nani? Tatizo ni strategies tu! Hana mpango Mkakati wowote zaidi ya kujishindanisha na mtu ambaye hata hana time nae.

Yeye aendelee kufocus tu kumshinda Diamond.. Mwanzake anafocus kuunyanyua mziki wetu kimataifa na kuwasaidia vijana wenzake wenye vipaji wanufaike na mziki.

Ukitaka kuamini haya niyasemayo ona hata aliwaambia mashabiki wake wampigie kura Kiba apate tuzo heshima ice Tanzania kitu ambacho Kiba asingeweza kuwambia mashabiki wake wampigie Diamond.

Kwanza Kiba mwenyewe amejaa dharau na majivuno as if yeye ndie mwanzilishi wa mziki duniani.
 
Hawa ndio watakaokanyaga steji ya MombasaRocks Festival

1. Chris Bwrown

2. Wizkid

3. Vanessa Mdee (Amejitoa Jana, shoo ya kuuza sura, malipo kidunchu kwa wasanii wa East Africa)

4. El Shaqo

5. Nazizi

6. Navio

7. Ali Kiba (Huyu anashangilia kama anaenda peponi!! Yeye hajali malipo kidunchu au hajapewa VIP treatment kwenye hilo tamasha kama wenzake akina Wizkid! Yeye mwanakwetu alimradi akauze sura tu... Akirudi ukimuuliza atakwambia amelipwa Bilioni 1 [emoji1] [emoji1] )



Cc: peterchoka Shardcole samsun Evelyn Salt
mzurimie
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haha mtani bhana hukosagi maneno wewe
 
mmmh 150
halafu Cris brown analipwa ngapi
mbona wamemnyonya
king kibakuli[emoji102]
 
ILA MIZOMBI IMEKAZANA TU OOOOOH ANATUMBUIZA NA CHRISS KAMA VILE WAO WAWILI TU,KUMBE KUNA LUUUUUUUUUUUNDO LA WASANII.
 
Mkuu hujaandaa story sensitive nyingine ya Kijasusi utupe tuchangamke kidogo.
 
Ngoja nimsaidie huyo jamaa,msimuonee bure, hivi unawezaje kumuona huyo jamaa kwenye kila uzi unaomtaja kiba,kama sio na wewe hupo kwenye hizo uzi ................. ( usiponijibu basi wewe na huyo jamaa,wewe ndio upo kwenye kila uzi unao muhusu huyo kiba,ila anawakera kwa vile hapendi ujinga ujinga.)
 
...jukwaa au wataimba pamoja?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ilmradi kaimba Yoooooo
 
Umewasahau sauti sol na
Bebe cool nao watakuepo
 
Watu wanasahau kuwa Kiba alishawahi kuimba na R.Kelly,sidhani kama Chris Brown amewahi kufika level ya R.Kelly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…