Wasafi!!!!!!Yoooooo
Nyimbo gani ameimba na R. Kelly?Watu wanasahau kuwa Kiba alishawahi kuimba na R.Kelly,sidhani kama Chris Brown amewahi kufika level ya R.Kelly
Meneja gani uyo?Manager keshawauwa huko wamebaki kupaniki.
Angali hii,halafu sio nchi moja HIYO NI TOUR NDEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEFU.Wakuu niaje.....
Tupi huku Mombasa......Kenya.....
Leo tupo huku Mombasa kwanye shoo ya kihistoria......
Chris brow kutoka Usa amekuja kufanya show ya kihistoria .....
Kikubwa zaid atapanda jukwaa moja na Alikiba ....
Vanessa pia atakuwepo .....
Njooni huku tule bata.......
Timu diamond mjinyonge tu....
Sallam.Meneja gani uyo?
Manager keshawauwa huko wamebaki kupaniki.
Ukiingia kwa sallam ndio utawakuta hivo, na full mapovu.View attachment 414561
Team kiba wakisoma calender ya diamond's tour
Hahaha nimeona yaani mashabiki wa kiba wanataka siku kiba akiwa na tukio diamond anatakiwa asipost kitu chochote kwasababu ataamisha attention.Ukiingia kwa sallam ndio utawakuta hivo, na full mapovu.
Na leo kawapa kazi haswa ya kutoa MAPOVU, nadhani sasa hivi SALLAM wanamchukia zaidi ya MOND.Hahaha nimeona yaani mashabiki wa kiba wanataka siku kiba akiwa na tukio diamond anatakiwa asipost kitu chochote kwasababu ataamisha attention.
Hawataki kabisa diamond apost kitu
Umeuliza swali langu ndugu, pia kuna faida yoyote!? Kuna dada mmoja wanamwita Wema Sepetu ashawaambia watafute kazi za kufanya.Hivi hizo team huwa mnalipwa.....? dah mjini kuna mengi
Bombadia na Boeing zote ni ndege lakini zipo katika levo tofauti!Bombadia hata mchangani inatua lakini boeing ina viwango vyake vya kutua ktk viwanja!Kama hali ndo ivi kinachotakiwa ni Kiba ajitahidi ili aweze fika au kupita levo za Mondi!TAFAKARI CHUKUA!Nyie watu mna kelele aisee,hivi huyo kiba akifika level za DIAMOND humu ndani si hakutakalika.......??
1.Kazidiwa pesa na DIAMOND.
2.Kazidiwa tuzo na DIAMOND.
3.Kazidiwa shoo na DIAMOND.
4.DIAMOND ana lebel kiba hana.
5.DIAMOND ana bendi kiba hana.
6.DIAMOND ana mijengo kiba yupo kwa maza.
7.DIAMOND anayo recording studio kiba hana.
8.DIAMOND ana wasanii wenye levo za kiba.
9.DIAMOND anapiga gittah,kiba hawezi chombo chochote cha muziki.
Diamond katoa ratiba yake ya kazi mpaka december 24 ipo instagram kule.. Anaeweza kudukua ailete hapa ili tuone nani fundi kuliko mwenzie.