Timu Diamond mjinyonge, Alikiba jukwaa moja na Chris Brown

Timu Diamond mjinyonge, Alikiba jukwaa moja na Chris Brown

Manager keshawauwa huko wamebaki kupaniki.
 
Wakuu niaje.....

Tupi huku Mombasa......Kenya.....

Leo tupo huku Mombasa kwanye shoo ya kihistoria......

Chris brow kutoka Usa amekuja kufanya show ya kihistoria .....

Kikubwa zaid atapanda jukwaa moja na Alikiba ....

Vanessa pia atakuwepo .....

Njooni huku tule bata.......

Timu diamond mjinyonge tu....
Angali hii,halafu sio nchi moja HIYO NI TOUR NDEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEFU.
 
Manager keshawauwa huko wamebaki kupaniki.

images (6).jpg

Team kiba wakisoma calender ya diamond's tour
 
Baada ya show tim kibakuli watakuja sema show ilijazwa na kibakuli
 
Ukiingia kwa sallam ndio utawakuta hivo, na full mapovu.
Hahaha nimeona yaani mashabiki wa kiba wanataka siku kiba akiwa na tukio diamond anatakiwa asipost kitu chochote kwasababu ataamisha attention.
Hawataki kabisa diamond apost kitu
 
Hahaha nimeona yaani mashabiki wa kiba wanataka siku kiba akiwa na tukio diamond anatakiwa asipost kitu chochote kwasababu ataamisha attention.
Hawataki kabisa diamond apost kitu
Na leo kawapa kazi haswa ya kutoa MAPOVU, nadhani sasa hivi SALLAM wanamchukia zaidi ya MOND.
 
Nyie watu mna kelele aisee,hivi huyo kiba akifika level za DIAMOND humu ndani si hakutakalika.......??

1.Kazidiwa pesa na DIAMOND.
2.Kazidiwa tuzo na DIAMOND.
3.Kazidiwa shoo na DIAMOND.
4.DIAMOND ana lebel kiba hana.
5.DIAMOND ana bendi kiba hana.
6.DIAMOND ana mijengo kiba yupo kwa maza.
7.DIAMOND anayo recording studio kiba hana.
8.DIAMOND ana wasanii wenye levo za kiba.
9.DIAMOND anapiga gittah,kiba hawezi chombo chochote cha muziki.
Bombadia na Boeing zote ni ndege lakini zipo katika levo tofauti!Bombadia hata mchangani inatua lakini boeing ina viwango vyake vya kutua ktk viwanja!Kama hali ndo ivi kinachotakiwa ni Kiba ajitahidi ili aweze fika au kupita levo za Mondi!TAFAKARI CHUKUA!
 
Diamond katoa ratiba yake ya kazi mpaka december 24 ipo instagram kule.. Anaeweza kudukua ailete hapa ili tuone nani fundi kuliko mwenzie.
 
Back
Top Bottom