Timu Diamond mjinyonge, Alikiba jukwaa moja na Chris Brown

Hahahahaa who is neyo? Muda wake umeshaisha mzee neyo ni sawa na inspekta haroon hapa bongo.

Chris Brown ndiyo habari ya mjini kwa sasa
Una mahaba mazito mnoo aisee hatuwez zungumza tukaelewana.....
Who is Neyo? Ni sawa na Inspector haroun dah.... haya mkuu.
 
Hii ndo nyimbo ya alikiba na r.kelly?
Hii si nyimbo ya campain ya one8 ilioshirikisha wasanii 8 kutoka africa na mmoja kutoka us
Ni kama vile coke studio mwaka huu trey songz alivyokuja kaimba na mastaa 6 wa africa akiwemo vanessa mdee
Kwaiyo vanessa mdee na yeye atasema ana nyimbo na r.kelly?
Hivi hata kutofautisha project za campain na nyimbo ya kawaida ni shida?
Wabongo bhana sasa hapo kuna hadi amini wa kenya lakini hajawahi hata siku moja kujitamba ana nyimbo na R.kelly
 
Mbona una hasira nimesema Ally Kiba alishawahi kuimba na R.Kelly sijasema nyimbo ya Kiba ku-perform na Chris Brown sio kitu kipya.Ally Kiba akitengeneza CV/profile yake hiyo nyimbo waliyoimba na RKelly anaiweka kwenye profile yake
 
Mbona una hasira nimesema Ally Kiba alishawahi kuimba na R.Kelly sijasema nyimbo ya Kiba ku-perform na Chris Brown sio kitu kipya.Ally Kiba akitengeneza CV/profile yake hiyo nyimbo waliyoimba na RKelly anaiweka kwenye profile yake
Tatizo ni jinsi mnavyokipa uzito as if ni kutu kikubwa sana yaani utadhani ni alikiba peke yake ndo kaimba kwenye iyo nyimbo
Wakina amani, fally ipupa au navio sijawahisikia sikia wakijitamba wameimba na R. Kelly au hata 2face
Kutuimba na chriss brown tena mombasa kwa mashabiki wale wale ambao hata yeye mwenyewe huwa anajaza sioni kama ni issue kubwa kama hivi unavyoichukulia
Ingekuwa ni kwenye show za breezy za Us au Europe tungesema kijana sasa amekuwa maana anaongeza fan base mpya kama vile breezy alivyombeba wizkid kwenye tour yake ya Europe.
Sasa kelele zote hizi show yenyewe inafanyika hapo pwani mombasa.
Ni kama taifa stars kujisifia tulishangiliwa tulivyocheza na brazil pale uwanja wa taifa
 
with odinga! Ila utaifa kwanza mambo ya team fanyieni tandale kimataifa unganeni mkono
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] utawaua sasaaaa
 
Wao wakipost tembo si tunapost show narenareee wambieni dada zenu kariakoo waje ulaya
 

Inaonekana uko serious sana na hizi timu (Diamond vs Kiba) na mapenzi yako kwa timu fulani ndio yanakufanya hata unashindwa kunielewa,mimi sio mfuasi wa aina ya muziki wao .Rudia kusoma tena post yangu ya kwanza labda utailewa
 
Sasa discussion gan ambayo haina hata positive product. Kila mtu anavuta kamba kwa team yake. This is nonsense. After all they are making money. Miss salt angalia.!!
 
mkuu kipindi hicho ilikuwa ni gumzo man ata hawa wanaija mziki wao ulikuwa bado
 
Hayo ndiyo mafanikio ya ally...

Wakati unasema hivyo kuna watu kibao Tz wameshaperfom Jukwaa moja na Rick Ross, 50 na wengineo.. Je thamani yao kimuziki iliongezeka?
 
Aliwahi kuimba na R Kelly, lakini mimi binafsi sikuona kama ilimsaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…