Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hili ni jukwaa la celebrities unataka tudiscuss nini kafie mbali hukoPelekeni akili zilizolala huko. How do u discuss people?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni jukwaa la celebrities unataka tudiscuss nini kafie mbali hukoPelekeni akili zilizolala huko. How do u discuss people?
Una mahaba mazito mnoo aisee hatuwez zungumza tukaelewana.....Hahahahaa who is neyo? Muda wake umeshaisha mzee neyo ni sawa na inspekta haroon hapa bongo.
Chris Brown ndiyo habari ya mjini kwa sasa
Mbona una hasira nimesema Ally Kiba alishawahi kuimba na R.Kelly sijasema nyimbo ya Kiba ku-perform na Chris Brown sio kitu kipya.Ally Kiba akitengeneza CV/profile yake hiyo nyimbo waliyoimba na RKelly anaiweka kwenye profile yakeHii ndo nyimbo ya alikiba na r.kelly?
Hii si nyimbo ya campain ya one8 ilioshirikisha wasanii 8 kutoka africa na mmoja kutoka us
Ni kama vile coke studio mwaka huu trey songz alivyokuja kaimba na mastaa 6 wa africa akiwemo vanessa mdee
Kwaiyo vanessa mdee na yeye atasema ana nyimbo na r.kelly?
Hivi hata kutofautisha project za campain na nyimbo ya kawaida ni shida?
Wabongo bhana sasa hapo kuna hadi amini wa kenya lakini hajawahi hata siku moja kujitamba ana nyimbo na R.kelly
Neyo aka mr niceSawa mkuu tunashukuru kwa povu lako....
Una taarifa lakin diamond atakua kwenye matamasha sita ya Neyo UK?
Tatizo ni jinsi mnavyokipa uzito as if ni kutu kikubwa sana yaani utadhani ni alikiba peke yake ndo kaimba kwenye iyo nyimboMbona una hasira nimesema Ally Kiba alishawahi kuimba na R.Kelly sijasema nyimbo ya Kiba ku-perform na Chris Brown sio kitu kipya.Ally Kiba akitengeneza CV/profile yake hiyo nyimbo waliyoimba na RKelly anaiweka kwenye profile yake
Neyo aka mr nice
Wakuu niaje.....
Tupi huku Mombasa......Kenya.....
Leo tupo huku Mombasa kwanye shoo ya kihistoria......
Chris brow kutoka Usa amekuja kufanya show ya kihistoria .....
Kikubwa zaid atapanda jukwaa moja na Alikiba ....
Vanessa pia atakuwepo .....
Njooni huku tule bata.......
Timu diamond mjinyonge tu....
Team indeedHahahahaa who is neyo? Muda wake umeshaisha mzee neyo ni sawa na inspekta haroon hapa bongo.
Chris Brown ndiyo habari ya mjini kwa sasa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] utawaua sasaaaaHawa ndio watakaokanyaga steji ya MombasaRocks Festival
1. Chris Bwrown
2. Wizkid
3. Vanessa Mdee (Amejitoa Jana, shoo ya kuuza sura, malipo kidunchu kwa wasanii wa East Africa)
4. El Shaqo
5. Nazizi
6. Navio
7. Ali Kiba (Huyu anashangilia kama anaenda peponi!! Yeye hajali malipo kidunchu au hajapewa VIP treatment kwenye hilo tamasha kama wenzake akina Wizkid! Yeye mwanakwetu alimradi akauze sura tu... Akirudi ukimuuliza atakwambia amelipwa Bilioni 1 [emoji1] [emoji1] )
Cc: peterchoka Shardcole samsun Evelyn Salt
mzurimie
Tatizo ni jinsi mnavyokipa uzito as if ni kutu kikubwa sana yaani utadhani ni alikiba peke yake ndo kaimba kwenye iyo nyimbo
Wakina amani, fally ipupa au navio sijawahisikia sikia wakijitamba wameimba na R. Kelly au hata 2face
Kutuimba na chriss brown tena mombasa kwa mashabiki wale wale ambao hata yeye mwenyewe huwa anajaza sioni kama ni issue kubwa kama hivi unavyoichukulia
Ingekuwa ni kwenye show za breezy za Us au Europe tungesema kijana sasa amekuwa maana anaongeza fan base mpya kama vile breezy alivyombeba wizkid kwenye tour yake ya Europe.
Sasa kelele zote hizi show yenyewe inafanyika hapo pwani mombasa.
Ni kama taifa stars kujisifia tulishangiliwa tulivyocheza na brazil pale uwanja wa taifa
mkuu kipindi hicho ilikuwa ni gumzo man ata hawa wanaija mziki wao ulikuwa badoHii ndo nyimbo ya alikiba na r.kelly?
Hii si nyimbo ya campain ya one8 ilioshirikisha wasanii 8 kutoka africa na mmoja kutoka us
Ni kama vile coke studio mwaka huu trey songz alivyokuja kaimba na mastaa 6 wa africa akiwemo vanessa mdee
Kwaiyo vanessa mdee na yeye atasema ana nyimbo na r.kelly?
Hivi hata kutofautisha project za campain na nyimbo ya kawaida ni shida?
Wabongo bhana sasa hapo kuna hadi amini wa kenya lakini hajawahi hata siku moja kujitamba ana nyimbo na R.kelly
lily kim, ludachris [emoji23]Hayo ndiyo mafanikio ya ally...
Wakati unasema hivyo kuna watu kibao Tz wameshaperfom Jukwaa moja na Rick Ross, 50 na wengineo.. Je thamani yao kimuziki iliongezeka?