Timu gani ya mpira unaichukia sana? Na kwa nini?

wewe ni hater
 
Siipendi Manchester united pamoja na waume zao Madridiots sababu ya maneno ya mashabiki wao
wewe ni shabiki la Barca!!Umesema Man Utd ambao ni wanaume wana waume zao ambao ni Madrid,madrid nao wana waume zao ambao Barca...unakubali kila Mme ana mmewe??!!!
 
Hapana ila siipendi Yanga, timu yoyote ikicheza na Yanga mm nashingilia hiyo nyengine
Mimi ni mshabiki wa Mancity, ila timu yangu ikicheza na Man u, mashabiki wa Chelsea wanakuwa kwangu, na nikicheza na Chelsea, mashabiki wa man u wanakuwa wananisaporti. vivyohivyo nikicheza na arsenal, utasikia mashabiki wa Chelsea na man u wakisema ; Piga hao mbwa piga kabisa huyo wenga. yaani sijui sasa mm niichukie timu gani hapo.

Man city akiwa anataka kucheza na Man U , utasikia mashabiki wa Chelsea wakiwaambia mashabiki wa Man u, : leo mnaipata habari yenu leo;
 
Halafu timu ya Taifa ya Misri, yaani hata walivyofuzu kuingia WC nimechukia sana. Kwa kifupi Toto Africa, Arsenal, Yanga, na Misri zikibaki the only teams duniani, bora niache ushabiki wa kandanda.
 
Inafurahisha kuona kuwa Liverpool FC haichukiwi na maadui zake pamoja na kuwapatia dozi nzito nzito
 
Timu zenye mafanikio zinachukiwa sana sijui ni kwanini? Kwa upande hakuna timu ninayoichukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…