spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Yanga siipendi ila Brazil ndio ugonjwa wangu kwahiyo naona mm issue sio rangi ya jezi.Yanga, naichukia sababu ya rangi ya jez zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga siipendi ila Brazil ndio ugonjwa wangu kwahiyo naona mm issue sio rangi ya jezi.Yanga, naichukia sababu ya rangi ya jez zao
Unaichukiaje Liverpool FC kwa mfano?? Mm ndipo inaponifurahisha, kipindi kile Man U inatamba na Ferguson wao ikikutana tu na Liverpool, kichapo!Inafurahisha kuona kuwa Liverpool FC haichukiwi na maadui zake pamoja na kuwapatia dozi nzito nzito
Yoyote mkuu, labda icheze na timu CCM ndio nitapata kigugumizi.
Hata green warriors?
BARCELONA ni wabaguzi wa rangi. Washenzi wakubwa.
Yanga siipendi ila Brazil ndio ugonjwa wangu kwahiyo naona mm issue sio rangi ya jezi.
Siipendi Argentina sababu huwa ni tishio kwa Brazil[emoji3]Brazil na israel sizipendi + young africans
Argentina,Barcelona Azam, and Pamba africans nazipenda mno mno mno mno.
Kila lakheri ARGENTINA
Siipendi Argentina sababu huwa ni tishio kwa Brazil[emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Brazil pia huwapendi 😀😀😀 hapo nimekuweka katika kundi nilipo mimi "unaipenda Argentina tena sana tu"
Eto'o, umtiti
Sio kweli mkuu__utakuwa umesikiliza radio ya maboksi
Unaweza kuleta kithibitisho hicho unachokiongea???
Au baada ya kumsikia DADA de lima a.k.a kitambi akiwaponda bwana zake/Barce!!!!
Eto'o, umititi