Codeboy Breezy
Senior Member
- Nov 8, 2018
- 193
- 329
Naanza kwa masikitiko ya kinachoendelea katika timu hizi nikiona dalili ya kufa kwa hizi timu kutokana na kupoteza wachezaji wengi sana pasi na kufanya usajili mpaka sasa
1. Chelsea
Timu hii tayari wachezaji kadhaa wahaondoka ikiwemo Antonio Rudiger na Andreas Christensen na huku rumors zikiendelea za kuondoka kwa wachezaji wengine nyota wa klabu huu kama Alonso, Azpilcueta na Werner, mpaka hapo sioni tena ramani ya chelsea katika soka la ushindani
2. Bayern munich
Kuondoka kwa Robert Lewandowsiki na Nicolas Sule ni pigo kubwa ndani ya klabu ya Bayern na huku kukiwa na tetesi za kuondoka pia kwa wachezaji wengine kama Serge Gnabry pasi na kuwa na mbadala wao ni wazi huenda timu hii ikapotea kwenye ramani ya soma la Ulaya
3. Juventus
Hii ndio timu ninayoweza kusema imekufa kisoka kutokana na wachezaji wake mablimbali kuondoka kama vile Giorgio Chiellini, Paulo Dybala, Dejan Kulusevsiki, Federico Bernadeshi huku mbadala wake ukiwa bado ni fumbo ziti.
I feel sorry for the Chelsea football Club fans, me as among of them😥