Timu hizi zinaenda kufa

Timu hizi zinaenda kufa

Unaota mchana wewe.
Chelsea ife kwa sababu ya kuondoka wachezaji?

Aliondoka Drogba, akaondoka Hazard, akaondoka Fabrigas.
Na timu ikabeba UEFA.

ACHA AKILI FINYU NA KUTUJAZIA SERVER KWA KULETA MADA ZA KIPUUZI.
Hahaaaa....atakuwa anaota na kiingereza chake cha longalombogo huko bariadi.
 
nani kakwambia timu inakufa kwa kuondoka wachezaji
 
Back
Top Bottom