Timu hizi zinaenda kufa

Unaota mchana wewe.
Chelsea ife kwa sababu ya kuondoka wa hezaji?

Aliondoka drogba,akaondoka Hazard,akaondoka fabrigas
Na timu ikabeba UEFA.


ACHA AKILI FINYU NA KUTUJAZIA SERVER KWA KULETA MADA ZA KIPUUZI.
Chelsea inakufa kwa kukosa mmiliki mwenye kupenda mpira.
Walioichukua ni wafanya biashara kama akina MO ubahili mwingi.
Wangeichukua waarabu ungeona ambavyo ingekuwa ya moto maana wale wanapenda soka hawaoni shida kuwekeza.

Timu za wajuaji kama akina MO huwa zinateseka sana kuchukua makombe.
 
Bwana mdogo fact yako kuhusu kufa kwa timu ni kuondoka kwa wachezaji tu wakati ni jambo la kawaida lilikuwepo na litaendelea kuwepo na timu zitaendelea kuweqo tena kama kwa chelsea utasubiri sana mwamba we are the BLUES.
 
Mo ni bahili..? Hivi tz hii kuna tajiri alie sajili kwa garama wachezaji zaidi ya Mo.? Muwe mnazichuja fikra zenu kabla. 🚮🚮
Bila shaka wewe ni utopwinyo. Humu tz hakuna timu wanalipwa vzr zaidi ya simba.
 
Baya munsheni kama inavyoitwa kikwao huijui wewe! Haiwezi kufa ni kama Yanga hapa Tanzania! Mwenyekiti wake lazima awe kutokana na mchezaji Mpira. Oliver Kahn ndiye wa sasa
 
Baya munsheni kama inavyoitwa kikwao huijui wewe! Haiwezi kufa ni kama Yanga hapa Tanzania! Mwenyekiti wake lazima awe kutokana na mchezaji Mpira. Oliver Kahn ndiye wa sasa
Kumbe kama Yanga?? Basi huenda ikafa kweli🤪
 
Either huujui mpira au umeanza kufuatilia soccer juzi
 
Sawa Shaffi Dauda
 
chelsea ina vipaji under 15, 17, 20's wengi sana haiwezi kufa leo wala kesho badala yake wewe ndio utakufa. RIP in advance
 
Hizo timu zimejengwa kimfumo ndugu, usizifanannishe na timu za bongo kama: maji maji, toto africans, tukuyu, lipuli, bandari mtwara, reli kigoma nk ambazo zilishajifia

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…