Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hatutaki visingizio. 5imba ni timu kubwa.Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa wameishapata chakula cha usiku na kwenda kulala.
Kwa hiyo wachezaji hao wataingia uwanjani huku kichwa kikiwa na akili ya usingizi na tumbo na akili ya kushiba na kurelax kama ilivyo desturi yao. Hili linaweza athiri sana performance ya timu. Timu hukabiliana vipi na hili?
Ni kweli wataingia na usingizi mnene wapigwe Tano.Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa wameishapata chakula cha usiku na kwenda kulala.
Kwa hiyo wachezaji hao wataingia uwanjani huku kichwa kikiwa na akili ya usingizi na tumbo na akili ya kushiba na kurelax kama ilivyo desturi yao. Hili linaweza athiri sana performance ya timu. Timu hukabiliana vipi na hili?
Tanzania si itakuwa mbele kwa masaa kuliko Morocco? Kama mechi inachezwa saa nne usiku kwa saa za huku ina maana kule Morocco mechi inachezwa mapema zaidi pengine kwenye saa mbili hivi. Kwa wanaojua zaidi mtanirekebishaMfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa wameishapata chakula cha usiku na kwenda kulala.
Kwa hiyo wachezaji hao wataingia uwanjani huku kichwa kikiwa na akili ya usingizi na tumbo na akili ya kushiba na kurelax kama ilivyo desturi yao. Hili linaweza athiri sana performance ya timu. Timu hukabiliana vipi na hili?
Tofauti Masaa 3 au 4...wako nyuma yetu.....Tanzania si itakuwa mbele kwa masaa kuliko Morocco? Kama mechi inachezwa saa nne usiku kwa saa za huku ina maana kule Morocco mechi inachezwa mapema zaidi pengine kwenye saa mbili hivi. Kwa wanaojua zaidi mtanirekebisha
Sasa kwa maana hiyo mechi ya Wydad vs Simba sisi kwetu ikiwa saa nne kule Morocco si itakuwa ni mapema zaidi?Tofauti Masaa 3 au 4...wako nyuma yetu.....
Ni mechi za mwisho pekee ndio mechi zinatakiwa zichezwe kwa muda sawa sawa ili kukwepa upangaji wa matokeo. Jana hukuona saa nne usiku kulikuwa na mechi pekee ya group C kati ya Etoil du Sahil na Al hilal huku mechi ya Petro luanda na Es Tunis ikichezwa leo?Ambacho sijaelewa ni kwa nini mechi inachezwa muda tofauti na ule wa mechi ya Galaxy vs ASEC. Wachezaji wa Simba waingie katika hii mechi wakijua kuanzia waamuzi hadi CAF wenyewe hawako upande wao, inabidi wakaze ma tako kweli kweli.
Wako masaa 2 nyuma yetuSasa kwa maana hiyo mechi ya Wydad vs Simba sisi kwetu ikiwa saa nne kule Morocco si itakuwa ni mapema zaidi?
Mkuu jiografia ukisoma hadi darasa la Tatu au la Nne,tuanzie hapo kwanza!Tanzania si itakuwa mbele kwa masaa kuliko Morocco? Kama mechi inachezwa saa nne usiku kwa saa za huku ina maana kule Morocco mechi inachezwa mapema zaidi pengine kwenye saa mbili hivi. Kwa wanaojua zaidi mtanirekebisha
Sikubahatika kusoma kabisa mkuu, ndio maana nimeomba nifundishwe kama nilichokifikiria sio sahihi kwenye maelezo niliyotoa.Mkuu jiografia ukisoma hadi darasa la Tatu au la Nne,tuanzie hapo kwanza!
Ila mechi za jana za kundi d zilichezwa muda mmoja na kiuhalisia upangaji wa matokeo unaweza kuanza toka hatua hiiNi mechi za mwisho pekee ndio mechi zinatakiwa zichezwe kwa muda sawa sawa ili kukwepa upangaji wa matokeo. Jana hukuona saa nne usiku kulikuwa na mechi pekee ya group C kati ya Etoil du Sahil na Al hilal huku mechi ya Petro luanda na Es Tunis ikichezwa leo?
Mkuu, Tanzania tuko mbele kwa muda (GMT). Kama mechi inaanza saa 4 za huku ina maana Morocco itakuwa mapema.Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa wameishapata chakula cha usiku na kwenda kulala.
Kwa hiyo wachezaji hao wataingia uwanjani huku kichwa kikiwa na akili ya usingizi na tumbo na akili ya kushiba na kurelax kama ilivyo desturi yao. Hili linaweza athiri sana performance ya timu. Timu hukabiliana vipi na hili?
Tofauti ya saa kati ya maroc na tanganyika ni: maroc ni utc+1 wakati bongo ni utc+3; kwa hiyo utc+3 - utc+1 = 2hr.Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa wameishapata chakula cha usiku na kwenda kulala.