Timu iko Mashindanoni mnaipeleka Bungeni Kutalii na kuichanganya na Siasa za Kikampeni kwanini isolate Matokeo ya Leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na kama haitoshi hadi Wachezaji muhimu muhimu wakawa wanapeana Namba za Simu na Watunga Sheria wenye Umri Mdogo (wa Jinsia tofauti na Wao) na wale ambao Umri ulishawaacha.

Mpo Vitani huku mkijua anayewakimbizeni ana Nguvu ya Ziada kutoka kwa Mmiliki wa Chama chenye Rangi zinazofanana nao na Hela za Kuchezea kwakuwa Mdhamini wao anatoa Kodi pale tu anapojisikia halafu mnajisahau, mnaridhika na kujiamini kuwa tayari mmeshakuwa Mabingwa.

Hovyo kabisa......na wala nisiwafiche au kuwa Mnafiki ni bora tuachwe Alama (Points) 20 na Ken Gold FC GENTAMYCINE nina uhakika tutawapata na kuwapita nazo ila siyo kwa kuachwa Alama (Point) moja na hawa Waliotuacha rasmi leo kwani kwa kuwajua walivyo bora katika UMAFIA na PROPAGANDA niseme tu kuwa TAYARI SHUGHULI IMESHAISHA tuisubirie nafasi ya Pili au tuweke Mkazo kule CRDB (FA) Cup.
 
PXL_20250206_152205474.MP.jpg
 
Hawa tunapiga trh 8 march. Au kama vip bodi ya ligi waipeleke hii game iwe ya mwisho tufunge nayo msimu.
 
Na kama haitoshi hadi Wachezaji muhimu muhimu wakawa wanapeana Namba za Simu na Watunga Sheria wenye Umri Mdogo (wa Jinsia tofauti na Wao) na wale ambao Umri ulishawaacha.

Mpo Vitani huku mkijua anayewakimbizeni ana Nguvu ya Ziada kutoka kwa Mmiliki wa Chama chenye Rangi zinazofanana nao na Hela za Kuchezea kwakuwa Mdhamini wao anatoa Kodi pale tu anapojisikia halafu mnajisahau, mnaridhika na kujiamini kuwa tayari mmeshakuwa Mabingwa.

Hovyo kabisa......na wala nisiwafiche au kuwa Mnafiki ni bora tuachwe Alama (Points) 20 na Ken Gold FC GENTAMYCINE nina uhakika tutawapata na kuwapita nazo ila siyo kwa kuachwa Alama (Point) moja na hawa Waliotuacha rasmi leo kwani kwa kuwajua walivyo bora katika UMAFIA na PROPAGANDA niseme tu kuwa TAYARI SHUGHULI IMESHAISHA tuisubirie nafasi ya Pili au tuweke Mkazo kule CRDB (FA) Cup.
Hahaahhahahahahaha
 
Utatukanwa lakini ule ni ujinga.
 
Back
Top Bottom