Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,930 Reaction score 2,118 Jan 1, 2023 #61 ndomyana said: Wewe je hukula goal tano mara mbili bila kadi Click to expand... Hebu bwana mkubwa tukumbushe ni lini kwenye Ligi kuu tumefungwa goli zaidi ya 3? Tafuta takwimu hata za miaka 50 nyuma. Na kama unaongelea Klabu bingwa uje na takwimu kama hizi. Attachments 20221212_204026.jpg 35.2 KB · Views: 1
ndomyana said: Wewe je hukula goal tano mara mbili bila kadi Click to expand... Hebu bwana mkubwa tukumbushe ni lini kwenye Ligi kuu tumefungwa goli zaidi ya 3? Tafuta takwimu hata za miaka 50 nyuma. Na kama unaongelea Klabu bingwa uje na takwimu kama hizi.