Timu inashinda bao 7 na mpira mwingi sana, ya nini kutafuta Kocha mpya wa kumrithi Mgunda?

Timu inashinda bao 7 na mpira mwingi sana, ya nini kutafuta Kocha mpya wa kumrithi Mgunda?

Simba kumleta kocha mpya, siyo jambo la kushtua. Maana mpaka sasa ni mwezi wa ngapi sijui huu, timu haina kocha wa kudumu!

Juma Mgunda tangu siku ya kwanza, alitambulishwa kama kocha wa muda (deiwaka), baada ya kocha wa wakati huo (Zoran wa Mlete Mzungu), kubwaga manyanga.
MEI 6, 2012
Simba 5-0 Yanga SC
WAFUNGAJI:
Emmanuel Okwi (dk 2 na 62), Felix Sunzu (penalti 56), Juma Kaseja (penalti dk 67) na Patrick Mafisango (penalti dk 72)
(Ligi Kuu)
HAPA UTOPOLO WALIKUWA WOTE FULL NA WAKACHOMEKWA MIKO MITANO [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]


FEBRUARI 26, 2017
Simba 2-1 Yanga
WAFUNGAJI:
YANGA: Simon Msuva (penalti) dk5
SIMBA: Laudit Mavugo dk66 na Shiza Kichuya dk81
HAPA SIMBA WALIKUWA PUNGUFU WAKAWASHINDILIA UTOPOLO MIKO MIWILI[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]


UNA LINGINE?
 
MEI 6, 2012
Simba 5-0 Yanga SC
WAFUNGAJI:
Emmanuel Okwi (dk 2 na 62), Felix Sunzu (penalti 56), Juma Kaseja (penalti dk 67) na Patrick Mafisango (penalti dk 72)
(Ligi Kuu)
HAPA UTOPOLO WALIKUWA WOTE FULL NA WAKACHOMEKWA MIKO MITANO [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]


FEBRUARI 26, 2017
Simba 2-1 Yanga
WAFUNGAJI:
YANGA: Simon Msuva (penalti) dk5
SIMBA: Laudit Mavugo dk66 na Shiza Kichuya dk81
HAPA SIMBA WALIKUWA PUNGUFU WAKAWASHINDILIA UTOPOLO MIKO MIWILI[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]


UNA LINGINE?
Sasa mbona hata nyinyi miaka michache baadaye mlibamizwa khamsa khamsa na Al Ahly na As Vita ya akina Bangala! Kuna jipya hapo?
 
Mgunda na Matola, Mgosi hawatatusaidia kitu. Ukitaka amini wacha tukutane n Azam na Yanga, hao ndo kipimo
 
Maboresho kwenye timu ya SIMBA SC yanahitaji umakini sana.

Hakuna haja ya kuleta kocha atakuja kuvuruga timu, kikubwa nafasi chache tu zinahitaji kuongezewa nguvu mfano; beki mmoja imara wa kati, mshambuliaji mmoja na kiungo mkabaji mmoja.
Kocha wa kigeni ni muhimu Sana.
Kwasababu, bado Simba haiko vizuri sana licha ya ushindi wa bao saba.
Napendekeza kocha anayeletwa lazima awe yule aliyezipa mafanikio timu za kawaida hivi karibuni. Siyo unachukua kocha aliyezipa mafanikio timu kubwa zikiwa na Wachezaji wakubwa ( Mfano: Wydad Casablanca, Al ahly, Mamelodi, nk).
Hizo timu hata zisipokuwa na kocha zinaweza kufanya vizuri ( but not always).
 
Hamna haja ya kocha mpya kwa sasa Mgunda anatosha.
 
Sio kila mechi mtacheza na wapinzani 9 uwanjani msiongee maneno mkamaliza, mechi na mtibwa mlishinda goli 5 baada ya kadi 2 nyekundu, mechi na prison mmeshinda goli 7 baada ya kadi moja nyekundu, Na mshaanza midomo mirefu mnaferi wapi nyie vijana wa rage
Hivi Yanga alipopigwa 5-0 kadi nyekundu zilikuwa ngapi?
 
Goli 5 kadi nyekundu, goli 7 kadi nyekundu.....nawaza tu [emoji143][emoji87]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Fuatilia vizuri, kuna mechi ya Simba na Yanga mchezaji wa Simba alipewa Kadi nyekundu na huku Simba iko nyuma kwa goli moja. Simba ilifanya comeback na kushinda game hiyo 2-1. Ilikuwa enzi ya akina Mavugo. So Kadi nyekundu sio only reason ya timu kufungwa.
 
Red cards hazikutoka. Zilitoka mbadala ambazo ni PENALTI TATU kwenye magoli matano.
Kwa hiyo Okwi alivyomlamba chenga kipa wa Yanga akabaki na wavu, kipa akavuta mguu, ulitaka iwe nini kama sio penati? Tena mwamuzi aliona huruma, ilikuwa iambatane na kadi nyekundu
 
Back
Top Bottom