We utopolo umesahau mara hii mechi yenu mlipewa penati ya bure
Timu za Tanzania ndio maana hazifiki mbali kila mara ni kubebwa tu.Kutesa kwa zamu.
KMC vs Yanga.
Penaaaaaaaati!
Ktk mechi ya Simba vs yanga penati ya yanga ulikenua meno kufurahia.Ktk mechi ya yanga vs kmc penati ya yanga nayo mijino yoote ilkutoka kufurahia ulivyo bwege kwa simba inakuuma. Pole an ichomoe kdgo kdgo au weka mate ipite vzrHivi ni kweli mchezaji wa KMC alishika mpira kwenye mechi ya Simba vs KMC?
TFF mnangoja nini kitokee kabla ya kuchukua hatua? Nini kinashindikana kumwambia Azam tv afanye marudio kwenye matukio yenye utata viwanjani ili kumsaidia refa kufanya maamuzi? Ni nani anafaidika na maamuzi haya ya hovyo ya marefa? Timu ndogo ndizo zinazo kosa haki mara zote kwa maamuzi ya marefa.
Muulize Mechi ya Gwambina vs yanga nan Alnutaika na mareraKutesa kwa zamu.
KMC vs Yanga.
Penaaaaaaaati!
Umeacha mechi ya simba na yanga waamuzi sita lakini penati ilitolewa kwa kosa nje ya box, simba walinyimwa penati mbili za wazi lakini walikuwa kimya wanashangilia sasa hivi wanatafuta matukio ili mradi wahalalishe walivyobebwaUnaongolea ubovu wa marefa ila mbaya zaidi unachagua matukio. Kwa hiyo unawataka TFF wachukuke maamuzi kwa vile tu ubovu wa maamuzi wa marefa haujafaidisha timu yako. Huu tunaita unafiki na utopolo...
Uto kama utoHivi ni kweli mchezaji wa KMC alishika mpira kwenye mechi ya Simba vs KMC?
TFF mnangoja nini kitokee kabla ya kuchukua hatua? Nini kinashindikana kumwambia Azam tv afanye marudio kwenye matukio yenye utata viwanjani ili kumsaidia refa kufanya maamuzi? Ni nani anafaidika na maamuzi haya ya hovyo ya marefa? Timu ndogo ndizo zinazo kosa haki mara zote kwa maamuzi ya marefa.
Kweli mkuu. Wana matukio mengi sana ya kuwabeba msimu huu ila wanajifanya hawayaoni na kujiaminisha kwamba huwa wanashinda au kusare kwa haki siku zote.Utopolo wanashangaza.Umeacha mechi ya simba na yanga waamuzi sita lakini penati ilitolewa kwa kosa nje ya box, simba walinyimwa penati mbili za wazi lakini walikuwa kimya wanashangilia sasa hivi wanatafuta matukio ili mradi wahalalishe walivyobebwa
UTOPOLO bhana umesahau ile Kona goli?Hivi ni kweli mchezaji wa KMC alishika mpira kwenye mechi ya Simba vs KMC?
TFF mnangoja nini kitokee kabla ya kuchukua hatua? Nini kinashindikana kumwambia Azam tv afanye marudio kwenye matukio yenye utata viwanjani ili kumsaidia refa kufanya maamuzi? Ni nani anafaidika na maamuzi haya ya hovyo ya marefa? Timu ndogo ndizo zinazo kosa haki mara zote kwa maamuzi ya marefa.
Huyu atakuwa hangalii mechi za timu kama mwadui na ihefu wakicheza wenyewe ,hizo timu refa akifanya makosa hamna malalamiko ,anakuja kulalamika kwa vile alikuwa akiangalia mechi akiwa na matokeo yake kichwaniBrother acha papara, emu tulia kwanza, kunywa maji ya kutosha afu andaa mada nzuri!!
Tengeneza hoja zenye kuhusisha timu zote kubwa, vilevile weka ushahidi wa matukio kwa timu zote kubwa.
Kuna kitu nimegundua kwenye thread yako kuwa umetumia neno timu kubwa ili kuficha undezi wako kwa timu fulani.
Matukio kama haya yanatokea mara nyingi sana sio kwa timu moja ulotaja but hujawai tengeneza thread ukiwa na hasira hivo
Hii inaipunguza hadhi ya mo na bidhaa zake kwenye jamii. Timu zilizowekeza kwa kiasi kile haiwezi tena kuwekeza kwenye waamuzi. Mwamuzi hayuko huru uwanjani waziwazi kabisa. Yaana haiwezekani kila benefit of doubt inapewa timu kubwa zenye uwekezaji mkubwa. Mechi iliyotangulia na JKT bocco alimsukuma kwa mkono mchezaji akaanguka kabla ya kwenda kufunga bao. Eti mchambuzi mmoja anasema ni sawa bocco kufanya vile eti kwakuwa yeye ndiye aliyekuwa anaumiliki mpira. Ni sheria gani inaruhusu kulinda umiliki wa mpira hata kwa kumuua mtu?Timu za Tanzania ndio maana hazifiki mbali kila mara ni kubebwa tu.
Timu kubwa kama Simba pamoja na kuwekeza pesa zote zile lakini bado haiwezi kuishinda timu ndogo kama KMC mpaka hadi wabebwe kwa kupewa penalti ambayo haikuwepo..!! Bure kabisa.
Ninachosema tff inashindwa nini kuweka tv pale uwanjani ili magoli na adhabu zenye utata ziwe replayed palepale uwanjani ili kusaidia kutoa haki kwa timu zote bila kujali ukubwa wake? TFF inaogopa nini kuongea na Azam tv kuhusu hili?Huyu atakuwa hangalii mechi za timu kama mwadui na ihefu wakicheza wenyewe ,hizo timu refa akifanya makosa hamna malalamiko ,anakuja kulalamika kwa vile alikuwa akiangalia mechi akiwa na matokeo yake kichwani