kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hivi ni kweli mchezaji wa KMC alishika mpira kwenye mechi ya Simba vs KMC?
TFF mnangoja nini kitokee kabla ya kuchukua hatua? Nini kinashindikana kumwambia Azam tv afanye marudio kwenye matukio yenye utata viwanjani ili kumsaidia refa kufanya maamuzi?
Ni nani anafaidika na maamuzi haya ya hovyo ya marefa? Timu ndogo ndizo zinazo kosa haki mara zote kwa maamuzi ya marefa.