Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
TFF haiwezi kuleta kitu kipya ambacho CAF na FIFA hawajapitisha ,hata ligi za misri na south africa sidhani kama inatumia VAR ,labda mfumo wa VAR utumike lakini huo mfumo wa kutumia reply ya tv kufanya maamuzi pale pale haupoNinachosema tff inashindwa nini kuweka tv pale uwanjani ili magoli na adhabu zenye utata ziwe replayed palepale uwanjani ili kusaidia kutoa haki kwa timu zote bila kujali ukubwa wake? TFF inaogopa nini kuongea na Azam tv kuhusu hili?