Timu kubwa kubebwa na marefa waziwazi kutakuja kusababisha maafa makubwa nchini

Mpira ni Biashara.
Timu kubwa ndiyo zinaingiza pesa nyingi TFF na Serikali kwa njia ya kodi.
Timu kubwa zinaibeba TFF kupitia njia ya mapato.
Malipo kwa Timu kubwa ni kubebwa kwa kupewa upendeleo ili TFF waendelee kupata pesa za kuendesha ligi.
Mchezaji kama Messi au Ronaldo hulindwa na marefa kuliko mchezaji mwengine yeyote kwa sababu ni chanzo cha mapato.
Haipendwi timu ila pesa tu.
 
Lazima kuwe na mjadala mpana na kina kuhusu ligi yetu. Timu ndogo zinatumia gharama kubwa sana kwa taabu kuhudumia timu zao, watu hawawezi kupata matokeo ya uwanjani kwakutumia marefa. Iko siku kuna jambo kubwa litatokea tena litaanzia kwenye timu za taasisi za umma dhidi ya waamuzi au mashabiki kwa mashabiki, mashabiki kwa viongozi wa timu. Iko siku enough itakuwa enough, it is just a matter of time wakati tolerance thresholds zinapoendelea kwenda chini.
Kwa jinsi unavyolalama, nimegundua unaongea kishabiki kwa vile tu timu yako unayoshabikia haijafaidika na hayo maamuzi mabovu. Kwa kifupi wewe ni mnafiki.
Ubovu wa waamuzi haupo kwa timu kubwa dhidi ya timu ndogo tu. Ubovu wa waamuzi pia upo kwa timu ndogo dhidi ya timu ndogo. Daraja la kwanza kuna timu kubwa? Je hakuna ubovu wa maamuzi kule?
 
Ni afadhali mara milioni penalti ile ya Yanga versus KMC ...lakini hii ya juzi Kati ya Simba versus siyo tu ni ushenzi Bali ni ujinga na uhujumu pamoja...lakini hii siyo mara ya kwanza kwa upendeleo wa wazi kwa Simba....mechi ya 2-2 Yanga vs Simba yule refa mwanamke aliihujumu Yanga waziwazi kwa penalti ya utata...pia Wawa ilikuwa red kwa kumkanyaga Nchimbi...mechi ya Simba na Yanga ambapo Yanga ilishunda kwa goli mija Chama ilikuwa apewe red kwa kumkanyaga Fei Toto...SIMBA BILA MAREFA NA TFF haiwezi kushinda mechi
 
Timu za Tanzania ndio maana hazifiki mbali kila mara ni kubebwa tu.

Timu kubwa kama Simba pamoja na kuwekeza pesa zote zile lakini bado haiwezi kuishinda timu ndogo kama KMC mpaka hadi wabebwe kwa kupewa penalti ambayo haikuwepo..!! Bure kabisa.
We ndio ndezi kabisa, Kwani kupata ushindi finyu ni dhambi?kwani kuwekeza fedha nyingi ndo suluhisho la kushinda na kutwaa taji bila kufungwa, kutoka sare au kupata ushindi finyu...EPL, liverpool alifungwa 7 na Aston Villa ambayo kiuhalisia uwekezaji wake si mkubwa sana kuimganisha na Liverpool....Tatizo liko kwa mashabiki mandezi kama wewe, Jenga hoja na sio kukurupuka.
 
Ni afadhali mara milioni penalti ile ya Yanga versus KMC ...lakini hii ya juzi Kati ya Simba versus siyo tu ni ushenzi Bali ni ujinga na uhujumu pamoja...lakini hii siyo mara ya kwanza kwa upendeleo wa wazi kwa Simba....mechi ya 2-2 Yanga vs Simba yule refa mwanamke aliihujumu Yanga waziwazi kwa penalti ya utata...pia Wawa ilikuwa red kwa kumkanyaga Nchimbi...mechi ya Simba na Yanga ambapo Yanga ilishunda kwa goli mija Chama ilikuwa apewe red kwa kumkanyaga Fei Toto...SIMBA BILA MAREFA NA TFF haiwezi kushinda mechi
Acha Upompoma, .... Unajitoa fahamu na kuhalalisha madhambi ya maamuzi ya marefa kwa kuipendelea Yanga na unaponda ya Simba...Punguza unaa na utafakari vyema kisha kemea kwa nguvu zote maudhi, madhambi ya kila namna kutoka kwa marefa kupendelea timu hizi kongwe(Simba &Yanga).
 
KMC player hang while playing game at mcdonald's mcdvoice store which very near to my home, its very unknown issue i have ever faced while listening best songs of me.
 
Kwa jinsi unavyolalama, nimegundua unaongea kishabiki kwa vile tu timu yako unayoshabikia haijafaidika na hayo maamuzi mabovu. Kwa kifupi wewe ni mnafiki.
Ubovu wa waamuzi haupo kwa timu kubwa dhidi ya timu ndogo tu. Ubovu wa waamuzi pia upo kwa timu ndogo dhidi ya timu ndogo. Daraja la kwanza kuna timu kubwa? Je hakuna ubovu wa maamuzi kule?
Usinimezeshe maneno yako unavyofikiri mimi naongea maamuzi mabaya ya waamuzi, mimi natoa mifano ninayoifahamu na ww sio vibaya ukaisema mifano unayoifahamu, lengo ni something to be done on fair football
 
Utopolo ndio kitu gani.
Usinimezeshe maneno yako unavyofikiri mimi naongea maamuzi mabaya ya waamuzi, mimi natoa mifano ninayoifahamu na ww sio vibaya ukaisema mifano unayoifahamu, lengo ni something to be done on fair football
Hakuna asiyefahamu ubovu wa marefa ila nyinyi mashabiki wa utopolo mkinufaika na hayo maamuzi mabovu mnapiga kimya ila ikitokea kwa simba kelele nyingi. Acheni unafiki.

Kama sio unafiki ongelea maamuzi mabovu kiujumla yaani mechi zote hata zile za timu kubwa vs timu kubwa kama vile yanga vs simba. Unajifanya matukio mengine huyajui, kwa hiyo hujui kama yanga walipewa penati kwa faulo iliyofanyika nje ya 18 ? Kama hilo unalijua kwa nini useme timu ndogo ndio zina athirika na maamuzi mabovu?
 
Wewe unaeyafahamu hayo mengine yaongelee badala ya kulialia na mimi. Technolojia ikija haitajali simba na yanga, it will be fit all
 
Ktk mechi ya Simba vs yanga penati ya yanga ulikenua meno kufurahia.Ktk mechi ya yanga vs kmc penati ya yanga nayo mijino yoote ilkutoka kufurahia ulivyo bwege kwa simba inakuuma. Pole an ichomoe kdgo kdgo au weka mate ipite vzr
Pia kuna mechi flani Yanga alikuwa anacheza na timu flani siikumbuki mpira umeingia wavuni refarii anasema kona.
 
kinachonishangaza ni kuongelea VAR wakati pitch tu ni tatizo.
Hakuna mpira bongo...hapa kuna Simba na Yanga tu...hiyo Azam watu hawaifikirii wanaiona kama timu ndogo tu ndo mana huwa inapangiwa kucheza saa nane baadhi ya mechi.
Bahati mbaya unatoa maoni ya kudhibiti wizi wakati wanufaika ni watoto wanyumbani(kesi ya nyani kwa ngedere)...hao hata uwanja wao wa nyumbani wanachezea kwa Mkapa pale..
 
Hata akina Othman Kazi wanatumia review/replay za Azam tv kuendesha kipindi chao cha kipenga. Hata bila ya VAR unaweza kutumia marudio ya tv kujua kosa limetendeka au la. Shida hapa kuna watu wanao bet wanaokula sahani moja na TFF na marefa, pili kuna timu zinazonunua hata matokeo kwa kutumia pesa zao, tatu kuna watu hasa mashabiki wa vilabu vikongwe wanaoleweshwa kwa ushindi ili wasihoji mapato na matumizi ya klabu na uwekezaji, kwao wao simba ikishamfunga yanga basi inatosha hakuna haja tena ya kuhoji 20b ziko wapi.

Hivyo viongozi na wawekezaji piga ua galagaza timu lazima ishinde ili kupata utulivu wakati wa kuhomola na kusosomola mapato yanayotokana na brand ya clabu
 
TFF kwa manufaa ya mpira nchini inaweza kuteua jopo la watu wanaoujua mpira kama vile Othman Kazi, Ali Mayai, Kashasha, Dauda, Maulid Kitenge, kampista, mbakile, nk wakawa pale uwanjani wakiwa wanauangalia mpira kwenye TV, na kama kuna kosa linalobishaniwa basi wanaomba review/replay ya tukio na kisha kumsadia mwamuzi kuamua kwa haki. Hii itapunguza kwa kiwango fulani makosa ya kibinadamu na ya makusudi ya waamuzi.
 
Ukiondoa Othman Kazi wengine wote hamna kitu hivi kitenge anaweza kusema kitu negative kuhusu yanga
 
Aaaa mzee hata huyo hatakuwa peke yake mbele ya tv na hata refa ataona mwenyewe pia kuwa haikuwa penati
 
Hata akina Othman Kazi wanatumia review/replay za Azam tv kuendesha kipindi chao cha kipenga. Hata bila ya VAR unaweza kutumia marudio ya tv kujua kosa limetendeka au la. Shida hapa kuna watu wanao bet wanaokula sahani moja na TFF na marefa, pili kuna timu zinazonunua hata matokeo kwa kutumia pesa zao, tatu kuna watu hasa mashabiki wa vilabu vikongwe wanaoleweshwa kwa ushindi ili wasihoji mapato na matumizi ya klabu na uwekezaji, kwao wao simba ikishamfunga yanga basi inatosha hakuna haja tena ya kuhoji 20b ziko wapi.

Hivyo viongozi na wawekezaji piga ua galagaza timu lazima ishinde ili kupata utulivu wakati wa kuhomola na kusosomola mapato yanayotokana na brand ya clabut
Umetumia hisia na nadharia zaidi,kama suala la VAR lingekuwa ni rahisi kama unavyofikiria basi lingekua limetamalaki ulimwenguni kote... unachotaka kifanyike ni kigumu kuki practice kwa kutumia Azam tv...vp wakiacha kuonyesha vpl? ushafikiria? Game zote inabidi zitumie VAR si za Simba na Yanga tu...
Unajua kama Camera za Azam hazichukui kila angle,hivyo hata matukio mengine hubaki bila majibu hata uki replay?

Hujasikia malalamiko malalamiko huko ulaya kuwa VAR inabeba baadhi ya timu...hata huko halijawa suluhisho la kudumu.
Tuweke vipaumbele kwenye pitch nzuri mengine yafuate...sasa unaenda kutumia VAR Namfua Stadium,hiyo ni akili kweli?
 
Sio kweli unachosema, kama ukiwapa Azam tv au tv nyingine inayotaka kurusha mechi za VPL lakini pia itumike kwa kutatua makosa yanayobishaniwa viwanjani bila shaka tff itatoa vigezo na masharti ya kuzingatiwa kama vile umadhubuti katika camera, replay, review, slow motion, nk. Something is better than never. Kama gharama na tech ya VAR hatuiwezi basi njia mbadala za kutatua tatizo lililokidhri lazima zitumike ili kuonyesha kuwa TFF na wadau wa mpira wanakerwa na kinachotendeka kunyima haki timu ndogo kwenye ligi. Mfano, haiwezi kuwa ni bahati mbaya tu refa kuipa Simba benefit of doubt kwenye mechi mbili mfululizo dhidi ya Mbeya City na KMC = 6ponts kwenye ligi nakuweka rehani nafasi za makocha wa timu ndogo na timu kubaki kwenye ligi kwa uzembe wa refa, mdhamini na tff

Issue ni zilezile tu za
1. Watu wanao bet
2. Viongozi kunyamazisha mashabiki kwa timu yao kushinda mechi hata kwa njia haramu
3. Mahaba ya timu
4. Njaa za waamuzi
5. Weledi wa waamuzi

Kwenye hili issue sio pitch kama unavyotaka kuzuga, mpira uchezwe na bahati mbaya mpira unaonekana nchi nzima hadi vijijini siku hizi, hakuna siri
 
Back
Top Bottom