Timu mbovu ya Yanga imewezaje kuongoza ligi hadi sasa?

Bila hata viporo kama kweli timu yenu ingekuwa bora sana basi sasa hivi mngekuwa kileleni, mmepata vichapo kutoka katika timu za kawaida sana
Mkuu kuwa muwazi, hivi unaridhishwa kweli na jinsi timu lenu linavyocheza. Yani wachezaji hamna kitu kabisa, kuna huyu Fei Toto yupo overated sana lakini zero kabisa...
 
Kama timu inayoongoza ligi ni mbovu na haijapoteza mchezo wowote Basi timu zinazoongozwa ni mbovu zaidi
....Word...Baelezeee hao mikia fc. Mtu anaandika upupu na ku-upload, eti uzi tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…