Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana maajabu yeyote..nimeamini hii timu ni wachawi
Hii VAR yetu inahitaji kufanyiwa upembuzi yakinifu haraka sanaYanga Hii Ni
Janjajanja Primary School
Imefaulisha Wanafunzi Wote Kwenda Secondary
Kufika Huko Hawajui Kusoma Na Kuandika
Dakika ya ngapi sasa hivi na matokeo yapoje ndugu mbumbumbuPole sana kidimbwi tunaelewa maumivu unayoyapopata sasa hivi
Mbeya city 0-0 Kidimbwi dakika 80
Wale wanangu wa yanga sijui mwiko wetu tuliupoteza wapi dahYanga imesheheni watu wa fitna za mpira na waganga wa kienyeji..
Hawana maajabu yeyote.
-- Dismiss case..
Uliza tenaDakika ya ngapi sasa hivi na matokeo yapoje ndugu mbumbumbu
Pole sana mtani wangu FT 1-1Dakika ya ngapi sasa hivi na matokeo yapoje ndugu mbumbumbu
Yanga ya wapi tena jamani?Yanga ni wapumbavu hakika.....
We nyani leta matokeoDakika ya ngapi sasa hivi na matokeo yapoje ndugu mbumbumbu
Mkuu kuwa muwazi, hivi unaridhishwa kweli na jinsi timu lenu linavyocheza. Yani wachezaji hamna kitu kabisa, kuna huyu Fei Toto yupo overated sana lakini zero kabisa...Bila hata viporo kama kweli timu yenu ingekuwa bora sana basi sasa hivi mngekuwa kileleni, mmepata vichapo kutoka katika timu za kawaida sana
Yanga ni mkwecheNa nyie mbumbumbu fc mmeshindwaje kuongoza ligi mpaka sasa?
Nimeona huyo wanaemuita kocha wao anaongea tu bila fact. Yani anadai ile siyo penalt...! Huu mchezo hauhitaji hasira bhanduguYanga haijulikan nan kocha nan mchezaji
....Word...Baelezeee hao mikia fc. Mtu anaandika upupu na ku-upload, eti uzi tayariKama timu inayoongoza ligi ni mbovu na haijapoteza mchezo wowote Basi timu zinazoongozwa ni mbovu zaidi
..kitu gani kaongea bila fact mkuu? Tuwekee hapa tujadiliNimeona huyo wanaemuita kocha wao anaongea tu bila fact. Yani anadai ile siyo penalt...! Huu mchezo hauitaji hasira bhandugu
Hatupo!! Bado tupo Congo na wewe uko wapi mzeeWazee wa mapaka mpo?
Naona unatafuta pa kutokea mkuu...kitu gani kaongea bila fact mkuu? Tuwekee hapa tujadili