Timu mbovu ya Yanga imewezaje kuongoza ligi hadi sasa?

Nani kakuambia Yanga kuwa ni timu mbovu? Timu imemudu kupata pointi moja dhidi Mbeya city, hii Yanga ni Moto wa kuotea mbali!! Hongereni sana Yanga!!

Yanga hii iliyotoka sare na Mbeya city ingekutana na As Vita, hao wakongoman wangekoma! Asanteni Sana timu ya wananchi kutupa burudani Safi ya kandanda Safi huko Mbeya!!
 
Wewe tunajua tumbo linakuuma unajikaza tu
 
Wewe jamaa ni makalio kweli kweli.
 
Pisi ton ,tonombe,kisinda ,sarpong ,naona wanaruka ruka tu uwanjan ,alaf ajab sasa KIDIMBWI fans wanavyowakubal Ni hatar[emoji23][emoji23] sijui wamewaroga .
Yanga mpira wa minguvu ila akil ya mpira hakuna kabisa.
 
Wanawapendea Mbio zao.
Kisinda anakimbia hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…