Timu mbovu ya Yanga imewezaje kuongoza ligi hadi sasa?

Nyie wazuri mnaongoza ligi gani
 
Yanga hawana forwardline nzuri hata kidogo wanashinda kwa kubahatisha sana. Wale akina Sarpong sio wachezaji wa kununua hana lolote kabisa.
 
Kwa sababu imecheza mechi nyingi kuliko Simba
 
Hapa hakuna logic yoyote, kwanza kutumia game moja kutoa tathmini ya timu siyo kipimo sahihi, na ukitumia kigezo cha michezo mingi basi itakuwa timu nyingine zote nazo ni mbovu.
 
The answer is very simple and clear. Kwasababu MBUMBUMBU FC kiwango chao hakilingani na yanga
 
Ligi haidanganyi..., Cup Competition inaweza kudanganya unaweza kuamka vibaya siku ya siku home and away umetoka....

Ila mwisho wa ligi, timu inayochukua kombe ndio bora sababu huwezi kuwa na bahati mechi zote, pia kila mtu atakutana na kila mtu mara mbili... Hakuna kipimo kizuri zaidi ya ligi...

Wordcup / au Cup Competition yoyote unaweza kuchukua kombe kwa kukutana na vibonde au ukawa kwenye form kipindi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…